Kenya yapiga marufuku uchimbaji wa Tanzanite, zilikuwa zinauzwa kiharamu Tanzania



Hivi kwa nini sisi Watanzania hatuna akili namna hii? Hivi inawezekanaje madini yanayotokana na miamba chini ya ardhi yapatikane sehemu moja tu ya Dunia wakati miamba ni miamba na inapatikana Dunia nzima? Kwanza wala siyo Duniani tu hata huko kwenye Sayari nyingine kama Mars kuna Madini ambayo yako pia hapa Duniani, unaweza kukuta madini yenye sifa na tabia kama Tanzanite huko Sayari ya Mars pia sasa utapinga kuyaita Tanzanite?!
 
Kenya wana Tanzanite? How? That ornament mineral, if exists, should be Kenyanite or something else but not Tanzanite. Ni yale yale ya Mlima Kilimanjaro uko Kenya chezeni na hawa jamaa.
Mkuu nimesoma hichi kibandiko cha huyu jamaa nikacheka sana eti Kenya wana Tanzanite ambayo wachimbaji walikuwa wanakuja kuuza TZ.

Mara nyingi Tanzanite huenda kuuzwa Kenya sasa nikajiuliza Tanzanite from Kenya to TZ, never.

Hawa jamaa wangekuwa na hii kitu dunia nzima ingekuwa inajua.

MOTOCHINI
 
ya kenya inaitwa KENYANITE ya Tanzania inaitwa TANZANITE huoni tofauti; Jiongeze
Hiyo siyo tanzanite ni madini tofauti na tanzanite ila upatikanaje wake ni adimu ndiyo maana yamepewa jina Tsavorite na wala si tanzanite kaangalie upya source ya habari. Tanzanite ni moja ya mererani tu.
 
Wana Tsavorite siyo tanzanite na muonekano wake ni tofauti
 
Bali ulimaanisha nini embu fafanua zaidi kama ukipenda!
Tanzanite iko Kenya kwa sababu tunapakana nayo
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38].
Akili nyingine mzigo
 
mweehhh...nyumbu tz wengi mno hata uelewa wa vitu vidogo tabuuuu!..magu una kazi kubwa..
 
Tanzanite iko Kenya kwa sababu tunapakana nayo
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38].
Akili nyingine mzigo


Mbona bado sikuelewi hoja hasa ni ipi? Jaribu kufafanua ili nikuelewe kama ukipenda!
 
Msipoteze muda wenu kuelewesha mtu ambaya hataki kuelewa...
 
WAKENYA HATUTAWAWEZA KWAKUWA WANATUMIA VYEMA RESOURCE ZAO SISI TAYARI ARDHI IMEKUWA MASHIMO BILA MANUFAA
 
Kenya wana Tanzanite? How? That ornament mineral, if exists, should be Kenyanite or something else but not Tanzanite. Ni yale yale ya Mlima Kilimanjaro uko Kenya chezeni na hawa jamaa.

Yes, if at it is also found in Kenya, it has to have a different name. Kenyanite suits the purpose!!! hahahaaa!
 

Kaombe hansard za bunge uone mawaziri walivyokuwa wakitulisha matango pori kuhusu upekee wa tanzanite kuchimbwa tanzania tu.
 
Hauna jiwe kama hili kenya hamna haa hamna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…