Sensor sijakuelewa unaposema akili mzigo. Kiukweli wewe umechemka haya madini hayana jina jingine zaidi ya tanzanite na hapa Africa yanapatikana Tanzania pekee tangu kutumbuliwa na de. Souza mwaka 1967 kama sijakosea hii habari ni kupotosha watu maana hakuna tanzanite kenya.Tanzanite iko Kenya kwa sababu tunapakana nayo
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38].
Akili nyingine mzigo
Ni huyo mleta mada ndiyo nilikuwa namjibu kama anavyotaka yeye kutuaminisha kwamba Tanzanite iko Kenya.Sensor sijakuelewa unaposema akili mzigo. Kiukweli wewe umechemka haya madini hayana jina jingine zaidi ya tanzanite na hapa Africa yanapatikana Tanzania pekee tangu kutumbuliwa na de. Souza mwaka 1967 kama sijakosea hii habari ni kupotosha watu maana hakuna tanzanite kenya.
Kama ndivyo basi haya madini hayapaswi kuitwa Tanzanite. yatafutiwe jina la general tu kama ilivyo almasi na dhahabuSerikali ya Kenya imepiga marufuku uchimbaji wa madini ya Tanzanite na biashara yake Loita, kamishna wa Narok amesema wachimbaji walikuwa wanachimba bila vibali na wafanyabiashara wasio waaminifu walikuwa wanaziuza kiharamu nchini Tanzania.
=========
Kuna watu wakiona hii habari watachanganyikiwa, kila siku huwa nasema nchi yetu haina upekee wowote ule kila tulicho nacho wengine pia wanacho tumelishwa propaganda miaka yote kwamba nchi yetu ni tajiri Afrika nzima, haya Kenya nao kumbe wana Tanzanite habari hiyo hapo chini!
Kila nchi ina Rasilimali na siyo nchi yetu tu, tofauti ni jinsi unavyoitumia hiyo Rasilimali kujinufaisha!
uko sawa sasa wanajidai wanayo tanzanite ili waendelee kuwaibia wabongo.Kenya wana Tanzanite? How? That ornament mineral, if exists, should be Kenyanite or something else but not Tanzanite. Ni yale yale ya Mlima Kilimanjaro uko Kenya chezeni na hawa jamaa.
Nimekuelewa mkuu. Humu ndani watu wanakopi na kupaste hata kama ni ujinga mkuu. kaona andiko katika mitandao bila kufanya utafiti wa kwake kaleta hapa jamvini na ukizingatia hapa kila kitu watu wanakibadilisha kua siasa basi comments nyingi hazina hata miguu. Bora kwa kumwelewa hivyo mtoa madaNi huyo mleta mada ndiyo nilikuwa namjibu kama anavyotaka yeye kutuaminisha kwamba Tanzanite iko Kenya.
Hii ni kama ile ya Mt. Kilimanjaro iko Kenya
Hii comment yako ya mwisho imeonyesha kuwa wewe ni mtu wa ku copy na ku paste bila kufanyia utafiti, kwa taarifa yako hakuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania yenye Tanzanite kwa africa kama unaijua leta uthibitisho hapa siyo hizi habari za mitandao unazozisoma na kuleta hapa. Ngoja tu nikusaidie madini ambayo wakenya wanayo yanaitwa tsavorite na yanapatikana kati ya mpaka wa Tanzania na Kenya. lakini Tanzanite ni moja tu na ni ya mererani. picha hapo chini ya juu ni tanzanite na ya chini ni tsavorite. Usiandike upuuzi huu tena ndugu yanguSerikali ya Kenya imepiga marufuku uchimbaji wa madini ya Tanzanite na biashara yake Loita, kamishna wa Narok amesema wachimbaji walikuwa wanachimba bila vibali na wafanyabiashara wasio waaminifu walikuwa wanaziuza kiharamu nchini Tanzania.
=========
Kuna watu wakiona hii habari watachanganyikiwa, kila siku huwa nasema nchi yetu haina upekee wowote ule kila tulicho nacho wengine pia wanacho tumelishwa propaganda miaka yote kwamba nchi yetu ni tajiri Afrika nzima, haya Kenya nao kumbe wana Tanzanite habari hiyo hapo chini!
Kila nchi ina Rasilimali na siyo nchi yetu tu, tofauti ni jinsi unavyoitumia hiyo Rasilimali kujinufaisha!
Serikali ya Kenya imepiga marufuku uchimbaji wa madini ya Tanzanite na biashara yake Loita, kamishna wa Narok amesema wachimbaji walikuwa wanachimba bila vibali na wafanyabiashara wasio waaminifu walikuwa wanaziuza kiharamu nchini Tanzania.
=========
Kuna watu wakiona hii habari watachanganyikiwa, kila siku huwa nasema nchi yetu haina upekee wowote ule kila tulicho nacho wengine pia wanacho tumelishwa propaganda miaka yote kwamba nchi yetu ni tajiri Afrika nzima, haya Kenya nao kumbe wana Tanzanite habari hiyo hapo chini!
Kila nchi ina Rasilimali na siyo nchi yetu tu, tofauti ni jinsi unavyoitumia hiyo Rasilimali kujinufaisha!
Mbona wewe ni mgumu kuelewa hivyo? Tanzanite ni aina ya madini yaliyoko chini ardhi, huko chini hakuna mipaka ya nchi, miamba haijui Kenya wala TZ hivyo madini yaliyoko TZ yatakosakanaje Kenya wakati tunashea mpaka?
Kama ndivyo basi haya madini hayapaswi kuitwa Tanzanite. yatafutiwe jina la general tu kama ilivyo almasi na dhahabu
EMBU TULETEE UTAFITI AMA LIST INAYOTAJA NCHI ZINAZOCHIMBA TANZANITE JAMAA, EMBU INGIA GOOGLE UZILETE HAPA ACHA uongo.....Kumbuka kwamba Tanzanite ni jina la aina fulani ya madini yenye tabia fulani ambayo kabla ya kugundulika bado yalikuwepo sema yalikuwa hayaitwi tanzanite, kipya ni kwamba aliyeyagundua akaamua kuyaita Tanzanite kama heshima ya mahali na nchi yalipogunduliwa, hivyo basi haimaanishi kwamba hayapo sehemu nyingine!
Nitakupa mifano kuna madini mengi maarufu hasa kwenye microelectronic yanaitwa Germanium ambayo ni kama vile Silicon sasa kwa nini yanaitwa Germanium ni kwa sababu aliyeyagundua wa kwanza kama vile Tanzanite alitaka kuyapa jina kwa heshima ya nchi yake lkn haimaanishi kwamba Germanium inapatikana Ujeruamani tu?
Hata TanZania tuna Germaniun pia na haturuhusiwi kuyaita jina lingine lolote isipokuwa Germanium, kwanza nchi yenye Germanium nyingi siyo Ujerumani na hata top 10 ya wazalishaji wa Germanium Duniani hawamo, vivyo hivyo Tanzanite kama tungekuwa na akili tusingepinga nchi nyingine kuita madini yenye sifa na tabia kama Tanzanite kuitwa Tanzanite bali tungepromote iwe hivyo lkn kama tukipinga ina maana kwa mfano Kenya watatafuta jina lao na kulipromote hilo jina hivyo kuleta ushindani kwa Tanzanite wakati ni madini yale yale sijui kama nimefanikiwa kuliezea hilo, kwamba hakuna tatizo lolote lile kwa nchi ya Colombia au Tibet kuita madini yeye tabia na sifa kama za Tanzanite Tanzanite ndicho ninachotaka kukiwasilisha!
KAKA ACHA KUTUDANGANYA EMBU TAFUTA NCHI ZINAZOCHIMBA DHAHABU UTAPATA NYINGI TU, ILA TANZANITE MPAKA SASA NI TANZANIA TU
ACHA PROPAGANDA AMBAZO HUJAZIFANYIA UTAFITI
wana akili kumzid baba yako na weweMwamba ni uleule umekwenda mpaka Kenya ndiyo maana na wao wamegundua, sema wao watanufaika sana kwa sababu wana akili sana kutuzidi
EMBU TULETEE UTAFITI AMA LIST INAYOTAJA NCHI ZINAZOCHIMBA TANZANITE JAMAA, EMBU INGIA GOOGLE UZILETE HAPA ACHA uongo.....
The Big deal hapa ............. ni zile Propaganda tulizokuwa tunapewa kila siku kuwa Tanzanite iko Tanzania tu!!so what is the story really? je ya Tanzania itashuka bei?
Je yetu imeisha?
Is Kenya having Tanzanite mining a big deal? we have Diamonds, Uranium, Coal, NaGAS, Big games, Highest mountain in Africa, Great lakes, Rivers and 50M people,
Then we have poor education, poor health system, poor infrastracture, poor industrial development, high unemployment rate, weak currency.....you name it..... where are we? Where is Kenya? want to complain? go get a grief man.
Hii comment yako ya mwisho imeonyesha kuwa wewe ni mtu wa ku copy na ku paste bila kufanyia utafiti, kwa taarifa yako hakuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania yenye Tanzanite kwa africa kama unaijua leta uthibitisho hapa siyo hizi habari za mitandao unazozisoma na kuleta hapa. Ngoja tu nikusaidie madini ambayo wakenya wanayo yanaitwa tsavorite na yanapatikana kati ya mpaka wa Tanzania na Kenya. lakini Tanzanite ni moja tu na ni ya mererani. picha hapo chini ya juu ni tanzanite na ya chini ni tsavorite. Usiandike upuuzi huu tena ndugu yangu
View attachment 353273
View attachment 353271
Ukiacha Kenya Tanzanite inapatikana wapi tena bossSababu ni rahisi sana, hakuna nchi nyingi zinazochimba Tanzanite siyo kwa sababu hakuna Tanzanite madini yenye sifa na tabia za Tanzanite sehemu nyingine bali sababu ni kwamba soko lake ni dogo hivyo hailipi kuwekeza fedha nyingi kwenye Tanzanite, thamani ya Tanzanite kwa Dunia nzima ni USD 500 million, sasa hii ni fedha kidogo sana kuweza kuyafanya makampuni makubwa na ya kimataifa kuwekeza hii ndiyo sababu lkn haimaanishi kwamba hayapatikani sehemu nyingine Duniani!
Ukiacha Kenya Tanzanite inapatikana wapi tena boss
Dooo!! Unaandika sanaYanaweza yakapatika popote pale Duniani hata kwenye Sayari Mars sema kama nilivyokwishandika ni kwamba thamani ya soko la Tanzanite ni dogo sana Duniani kuweza kuwekeza fedha nyingi kuyazalisha na ndiyo maana unaona mpaka sasa hakuna utafutaji wake mkubwa, thamani yake Duniani ni dola za Kimarekani miloni 500 tu na hii ni soko lake Dunia nzima sasa linganisha na dhahabu thamani ya mgodi wa Buzwagi peke yake ulioko Kahama ni milioni 300 USD nafikiri labda unapata picha ya tofauti na ndiyo maana Dhahabu iko sehemu nyingi kwa maana inalipa kuitafuta!
Sasa tunachopaswa kufanya sisi kama nchi ni kuwekeza kwenye utafiti wa haya madini na labda tunaweza kugundua matumizi mengine ya tanzanite mbali na urembo labda yangeweza kutumika kwenye kutengezea microelectronics au space vehicle hapo sasa ndiyo thamani ingepanda lkn inahitaji uwekezaji mkubwa kwenye Research & Development ya haya madini!