Kenya yapiga marufuku uchimbaji wa Tanzanite, zilikuwa zinauzwa kiharamu Tanzania

Jibu hoja kwa nini sisi hujinadi kuwa madini haya hupatikana Tanzania pekee? Yaani hakuana sehemu katika hii dunia utakapopata madini haya ila ni Tanzania. Jibu
 
Ulafi, ubinafsi, umimi ni roho mbaya sana inayotakiwa kupingwa kwa nguvu zote.

Juzi tu hapa tulikuwa tunajiuliza zile shehena za mizigo ya transit kwenda nchi jirani imepungua! Kumbe mchezo watu walikuwa wanaingiza mizigo hapa nchini, wanadanganya inaenda nje kumbe wanapiga u turn tu mambo yao yanaendelea!

Ulafi umekomaa sasa tunaambiwa Tanzanite inapatikana kenya. Since when? Au imegundulika baada ya watu kuanza kunusa mikataba ya migodi huko mererani? Migodi iliuzwa/ilichukuliwa kienyeji tu sasa balaa lake ndio kukimbilia kuichimba kenya?
 
Haya madini tuliyonayo mengi kasoro dhahabu,hatuna matumizi nayo ya moja kwa moja bali hupata thamani kutokana na yanavyohitajika huko nje kulingana na maendeleo ya teknolojia. Hivyo hata hao wanaoingia mikataba wakati mwingine si busara kuwalaumu pale tunapohisi kwa ujinga wetu kuwa tumepunjwa.Ndio maana siyo madini yote huwa na ulipaji wa milabaha.
Dhahabu toka wazo la biashara kuingia katika kichwa cha mwanadamu, imekuwa ni kipimo cha kiwango cha utajiri wa mtu au nchi. Hivyo nchi kuwa na dhahabu ni ishara ya uwezo wake kiuchumi.Hivyo dhahabu tunaweza kuwa na matumizi nayo ya moja kwa moja.
 
Barbarosa,spin student,nenda kawasaidie Lumumba Team kwenye uzi unaomhusu Jesca.
 
This thread right here is 100% proof that it is impossible to have an intelligent and logical argument with a Tanzanian. lol
 
Mtoa uzi umekurupuka.ukitaka kuweka mada mezani ifikirie kwanza
 
what the hell???just bcz its called tanzanite then it can never be found outside tz?waah...Kweli hapa ndo nimejionea maajabu ya mwisho.inakaa geography haikusaidia watu kabisa
 
This thread right here is 100% proof that it is impossible to have an intelligent and logical argument with a Tanzanian. lol


Naweza kukubaliana na wewe kwa namna moja au nyingine wengi tunasukumwa na hamaki na siyo logic hilo ndiyo tatizo! Watu wanashindwa kuelewa vitu rahisi sana kwa mfano kama Tanzanite iko Mererani Arusha kwa nini ikosekane km 30 mbele yake Kenya wakati mwamba (geological system) ni hiyo hiyo?
Lakini kuhusu ulivyoandika siyo Watanzania tu ndiyo tuna hili bali ni Waafrika kwa ujumla hata Wakenya wengi tu na nimekutana nao wengi sana hawatumii logic bali wanasukumwa na hisia tu, unaweza kusema ni sisi Waafrika karibia wote tuko hivyo na ndiyo maana tunashindwa kutatua matatizo madogo sana ambayo yanahitaji logic ndogo tu nafikiri ni upungufu ktk malezi yetu au Elimu tunayopewa haitujengei uwezo wa critical thinking ndiyo maana matatizo tena madogo madogo hayaishi, kila siku tuna shida zile zile tu!
 
Siko kwenye jina. Nielewe.

Kwahiyo kama tuna-share mipaka lazima Tanzanite itapatikana Kenya kwa mujibu wa maelezo yako.

Vipi huko Pakistan uliposema
Wakubwa naombeni nisolve
Ni kwamba hakuna sehemu nyingine yote duniani ambapo tanzanite inapatikana zaidi ya tanzania
Kwa kufikiria nlidhani wakenya wanaongea juu ya madini ya tsavorite ambapo yanatabia karibia sawa na tanzanite
 
mheshimiwa hii habari umeitoa wapi
 
hii habari inaweza kuwa na ukweli au ni uongo wa jamaa na propaganda zao za mlima kilimanjaro upo kenya....inawezekana madini yakawepo maana ni mwamba miamba haitachagua kuwa sasa inataka kufika kenya ipinde kona irudi Tz so its possible kuwepo...lakini all those years wakae kimya tu??wamegundua lini wana Tanzanite au madini yanayofanana na Tanzanite....ma geologist wetu waende kuangalia zaidi huko mipakani inawezekana kuna maeneo mengi ya yakawepo kama kweli jamaa wanayo
 
Haya ngoja tuone mwisho wa kupenda vitu vya jirani
 

inabidi iitwe Kenyanite na sio tanzanite
 
Hata south pia yalikuwepo ila sauz yalivunwa na makaburu hd yakaisha
 
Mwamba ni uleule umekwenda mpaka Kenya ndiyo maana na wao wamegundua, sema wao watanufaika sana kwa sababu wana akili sana kutuzidi
Hata huku watu wanafaidika ila hawana akili.mtu anapata mil700 anaenda kufunga ndoa ufaransa!mwaingine akakodi taxi za mji mzima eti zibebe washkaji waende viwanja ela itaacha kuisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…