Kenya yapiga marufuku uingizaji wa gesi(cooking gas) kutoka Tanzania kupitia mipakani

Kenya yapiga marufuku uingizaji wa gesi(cooking gas) kutoka Tanzania kupitia mipakani

uhuru kenyatta asibembeleze hawa wajinga....nadhani kenya inajiweza...ban all imports from stupid tanzanians...
Hehhheheheh piganeni na njaa sasa kama munajiweza kwanini munatangaza janga la taifa😀😀😀😀😀😀😀
 
Kila mara tunapotokea kuwa beat wakenya kibiashara basi hutuwekea vikwazo... Tuliwa beat kwenye sekta ya utalii, wakazuia magari yetu kuingia airport zao.
Sasa wafanya biashara wa kitanzania wamewabeat wakenya kwenye suala la gesi, sasa tena wamekuja na vikwazo vyao...
Ifahamike. Kama wakenya wamechoka kufanya biashara na Tanzania tujue moja.
Sasa ni nafasi nyingine kwa serikali yetu kuchukua hatua ya kuzuia bidhaa zote za kutoka Kenya kuingia nchini kwa njia ya bara bara... Kama wao walivyosema kuwa gesi iiingine nchini kwao kwa kutumia bandari ya Mombasa, basi na sie tufanye hivyo hivyo.
Bidhaa zote za kutoka Kenya ziingie nchini kwa kutumia bandari ya Mtwara pekee. Kinyume na hapo zisiruhusiwe kabisa kuingia nchini mpaka pale wafanya biashara wa kitanzania watakaporuhusiwa kusafirisha gesi yao kama kawaida.
Haiwezekani, tena haiwezekani Kenya wakatuchezea sharubu kiasi hiki... The action and response has to be swift!
 
Wajinga ndoo waliuawa watanzania hatuna thinking capacity ya kupambana wakenya
 
Usiwe na haraka. Bado tunaangalia pa kuminya ndo tukae kwenye meza ya majadiliano . Unakimbuka sakata la magari ya utalii lilivyomalizwa?
 
Back
Top Bottom