pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Sasa nyie mnaoficha data za maambukizi na taarifa kuhusu upimaji ndio mna afueni? Kenya inawaza kuhusu uwazi na kuwapa watalii confidence. Jana ukaguzi wa kwanza umefanywa kwenye uwanja wa ndege wa JKIA, Mombasa na Kisumu pia na ukaguzi mwingine utafanywa wiki ijayo. Anga ya Kenya bado haijafunguliwa, shughuli ya kutimiza vigezo vyote vinavohusiana na kuzuia maambukizi ya virusi kwa wasafari ndio inaendelea. Hatukurupuki na kuruka ruka ovyo ovyo bila mikakati inayoeleweka kama ilivyo kawaida yenu.Hakuna mtalii mtoto watu waelewa na dunia sasa hv kijiji sasa we baki na karatasi yako ya cheti cha mzungu watu wanajua kama Kenya ipo kwenye hali mbaya