Kenya yapunguza viingilio vya utalii ili kufufua sekta ya utalii iliyoathiriwa sana na Corona

Kenya yapunguza viingilio vya utalii ili kufufua sekta ya utalii iliyoathiriwa sana na Corona

😆😆😂yani takataka kama wewe unaeza nfundisha kiswahili?
Kiazi wa Arusha wewe...

Masoro wa Arusha ni watu wenye Kiswahili kibovu kuliko watu wote EA!

Wewe ni mojawapo ya hayo mapunguani!

Kiswahili hujui,Kingereza hujui,lugha yako ya kienyeji aidha Kimasai au Kichagga au Kimeru au Kimbulu huko Arusha hujui,hela huna,maendeleo huna,wewe takataka tu maana huna lolote unalojua la kujivunia!
et kwe maji mi nazama we unaelea we ni nani......?
Wewe unazama kwa sababu hujui kuogelea!

Fvck outta here you lousy bimbo!
 
Hivi ndivyo biashara huanguka.. Mtalii anayetoka ulaya kuja afrika kujionea wanyama haji kwa ufukara wake, anatia mguu africa kwa pesa zake za ziada. Hivi kwani hamfuatilii kwamba Trump amewapea wananchi wake dola $1200 kila mtu bure huku nchi za Ulaya wakifanya hivyo hivyo kwa wanachi wake? Hizi pesa (takriban trillioni $1.5 - america na mingi zaidi bara la uropa) za bure unadhani zita enda wapi? kwa vivutio vya vya bei ya nyanya?
COVID19 imeongeza pesa mikononi mwa watalii, na kwa hela hizo usitarajie waje kutafuta vivutio vya makapuku
 
Kiazi wa Arusha wewe...

Masoro wa Arusha ni watu wenye Kiswahili kibovu kuliko watu wote EA!

Wewe ni mojawapo ya hayo mapunguani!

Kiswahili hujui,Kingereza hujui,lugha yako ya kienyeji aidha Kimasai au Kichagga au Kimeru au Kimbulu huko Arusha hujui,hela huna,maendeleo huna,wewe takataka tu maana huna lolote unalojua la kujivunia!

Wewe unazama kwa sababu hujui kuogelea!

Fvck outta here you lousy bimbo!
eti kwe maji mi nazama we unaelea we ni nani?BOYAAA😁😁
 
Hao watalii watakuja vipi na lockdown hiyo,anga limefungwa
 
Back
Top Bottom