Sayansi ya GMO ipo miaka mingi sana! Mojawapo ni hii ya kufanya Kuku atage yai bila Jogoo(kwa sasa Israel wanao kuku anataga mayai 2 kwenye muda wa masaa 24) na Ngombe anaetoa maziwa lita 40+ katika muda wa masaa 24. Samaki Sato wa Kufugwa anaefikia Gram 500 kwa miezi 3 akiwa ndani ya Bwawa.Mosanto ni sawa ameweka hizo sheria na yeye karibia 70 ya Mbegu za mazao mbalimbali Duniani anazimiliki yeye.
NINI KIFANYIKE KWA TANZANIA:??
Sokoine Unversity wanaweza kuzalisha Mbegu zote tunazozihitaji kama Taifa na ata kuuza nje ya Tanzania.
Ni aibu kwa Tanzania mpaka leo miaka 60+ ya Uhuru atuwezi ata zalisha vifaranga wa kuku wa mayai au Nyama. Au Kuwa na Ngombe wetu(elewa maana ake).
Mpaka sasa ata chakula bora cha kulishanSamaki,Kuku n.k Wafugwao ni Imported.