Kenya yaruhusu vyakula na kilimo cha GMO, hongera Sana Rutto kwa kuongoza nchi kwa kutumia ushahidi wa Sayansi

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

MY TAKE: Nadhani Afrika inaanza kutafuta ufumbuzi wa matatizo yake kwa kutumia Elimu ya sayansi badala ya Elimu ya vijiweni na imani za dini na uchawi, hii ni dalili nzuri kwa mustakabali wa Afrika

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Skia mkuu kuna kampuni inaitwa mosanto kama sikosei kule marekani wanajihusisha na uzalishaji mbegu za kilimo ambazo ni GMO. Wana sheria yao kwamba ukinunua mbegu kwao ukapanda, ukavuna unaruhusiwa kutumia mavuno kama mbegu kwa msimu mwingine mmoja tuu otherwise wanakuahtaki mahakamani. Sasa utakua umepata angalau picha ya hizi vitu.
 
Binafsi sina uhakika niko upande gani. Maana bado sijajua faida wala hasara zake.
 
Tanzania tusije tukafanya hilo hata siku moja. GMO isiruhusiwe kabisa, na industrial agriculture pia iangaliwe kwa makini sana!
Kwahiyo tuendelee kujifukiza na kufanya maombi nchi nzima kwa siku 3 ili kutatua matatizo yenye kuhitaji ufumbuzi wa kisayansi, wewe kwako ndio unadhani ni njia sahihi?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Jibu la kitoto na zilipendwa.
Kwasababu hujasoma sayansi, Rutto pamoja na kuwa ni muumini mkubwa Sana wa imani ya dini ya kikristo, alikini ni "scientist", anafuata ushahidi wa sayansi ktk kufanya maamuzi sio mihemuko na taarifa za vijiweni.

Only science can help African countries the way it helped developed world to get where they are to day. No country can get modern development through ignorance and going against scientific research results

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Haya ma GMO si ndio yale ukivuna, mwaka unaofata mbegu ununue tena ama!?

Haijalishi hasara zake, ipo siku wanasiasa wataipitisha.
Mbona hata kuku wa kisasa ukishauza lazima ununue vifaranga wengine?, Muhimu angalia faida na hasara. Kuna faida kubwa inayopatikana kwa kununua vifaranga wapya kuliko kuzungusha waliototolewa na kuku wa zamani hapo nyumbani

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Skia mkuu kuna kampuni inaitwa mosanto kama sikosei kule marekani wanajihusisha na uzalishaji mbegu za kilimo ambazo ni GMO. Wana sheria yao kwamba ukinunua mbegu kwao ukapanda, ukavuna unaruhusiwa kutumia mavuno kama mbegu kwa msimu mwingine mmoja tuu otherwise wanakuahtaki mahakamani. Sasa utakua umepata angalau picha ya hizi vitu.
Sayansi ya GMO ipo miaka mingi sana! Mojawapo ni hii ya kufanya Kuku atage yai bila Jogoo(kwa sasa Israel wanao kuku anataga mayai 2 kwenye muda wa masaa 24) na Ngombe anaetoa maziwa lita 40+ katika muda wa masaa 24. Samaki Sato wa Kufugwa anaefikia Gram 500 kwa miezi 3 akiwa ndani ya Bwawa.Mosanto ni sawa ameweka hizo sheria na yeye karibia 70 ya Mbegu za mazao mbalimbali Duniani anazimiliki yeye.
NINI KIFANYIKE KWA TANZANIA:??
Sokoine Unversity wanaweza kuzalisha Mbegu zote tunazozihitaji kama Taifa na ata kuuza nje ya Tanzania.
Ni aibu kwa Tanzania mpaka leo miaka 60+ ya Uhuru atuwezi ata zalisha vifaranga wa kuku wa mayai au Nyama. Au Kuwa na Ngombe wetu(elewa maana ake).
Mpaka sasa ata chakula bora cha kulishanSamaki,Kuku n.k Wafugwao ni Imported.
 
Waambie hao wanaoishi maisha ya kizamani katika Karne ya sayansi na teknolojia, ni aibu kwa mtu aliyesoma hadi chuo kikuu kupinga tafiti za sayansi kwa kutumia maneno ya mitaani na kusoma vijarida vya mitaani

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hii Biashara ya Mahindi huko mbele itarejea kuwa Biashara kichaa

Kenya wameamua kutumika Mbegu za Mahindi za GMO ili kupata mavuno mengi na ya uhakika

Kadhalika Kilimo cha Mahindi kimepewa ruzuku ya Mbolea

Waziri Bashe zidisha Ubinafsi na tujikite zaidi soko la Congo
 
Mahindi ndio chakula kikuu Kenya ila bwashee pamoja na mbegu na ruzuku hizo hawana ardhi stahiki ya kutosha kulima ya kuwatosheleza.
Wanalima zaidi chai mirungi na horticulture ambayo yana faida kuliko mahindi
Hata kabla ya kuanza kununua ya Tanzania huko nyuma walikuwa wanaagiza toka Mexico
 
Back
Top Bottom