Kenya yaruhusu vyakula na kilimo cha GMO, hongera Sana Rutto kwa kuongoza nchi kwa kutumia ushahidi wa Sayansi

Kenya yaruhusu vyakula na kilimo cha GMO, hongera Sana Rutto kwa kuongoza nchi kwa kutumia ushahidi wa Sayansi

Ni fursa nzuri, Kama tungeitumia, wakulima wa mahindi ni maskini sana kwa ajili kukosa soko!!!
Wakulima wa mahindi Tz si maskini Kwa kukosa soko bali Kwa kupangiwa bei ya mahindi na pembejeo bila kifuata uhalisia wa gharama na faida Kwa mkulima. Mkulima hana sauti wala maamuzi katika shughuli zake.
 
Kenya Wana uwezo wa kuchunguza gmo!?..hao hata wafanyeje,hawawezi jilisha
 
Back
Top Bottom