HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Wakenya ni wafugaji wakubwa wa Kuku, hivyo wanahitaji Mahindi wakato wote
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni fursa nzuri, Kama tungeitumia, wakulima wa mahindi ni maskini sana kwa ajili kukosa soko!!!Yaani sisi ni shamba la Kenya
Ni Kweli kabisaNi fursa nzuri, Kama tungeitumia, wakulima wa mahindi ni maskini sana kwa ajili kukosa soko!!!
Wakulima wa mahindi Tz si maskini Kwa kukosa soko bali Kwa kupangiwa bei ya mahindi na pembejeo bila kifuata uhalisia wa gharama na faida Kwa mkulima. Mkulima hana sauti wala maamuzi katika shughuli zake.Ni fursa nzuri, Kama tungeitumia, wakulima wa mahindi ni maskini sana kwa ajili kukosa soko!!!