joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: Nadhani Afrika inaanza kutafuta ufumbuzi wa matatizo yake kwa kutumia Elimu ya sayansi badala ya Elimu ya vijiweni na imani za dini na uchawi, hii ni dalili nzuri kwa mustakabali wa Afrika
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Amekosea juu ya nini??Ruto apo umekosea
Amekosea juu ya nini??
Mkuu wasikilize vizuri hao wataalamu katika hiyo video wakitaja faida za kilimo cha mazao ya GMOBinafsi sina uhakika niko upande gani. Maana bado sijajua faida wala hasara zake.
Kwahiyo tuendelee kujifukiza na kufanya maombi nchi nzima kwa siku 3 ili kutatua matatizo yenye kuhitaji ufumbuzi wa kisayansi, wewe kwako ndio unadhani ni njia sahihi?.Tanzania tusije tukafanya hilo hata siku moja. GMO isiruhusiwe kabisa, na industrial agriculture pia iangaliwe kwa makini sana!
Jibu la kitoto na zilipendwa.Kwahiyo tuendelee kujifukiza na kufanya maombi nchi nzima kwa siku 3 ili kutatua matatizo yenye kuhitaji ufumbuzi wa kisayansi, wewe kwako ndio unadhani ni njia sahihi?.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwasababu hujasoma sayansi, Rutto pamoja na kuwa ni muumini mkubwa Sana wa imani ya dini ya kikristo, alikini ni "scientist", anafuata ushahidi wa sayansi ktk kufanya maamuzi sio mihemuko na taarifa za vijiweni.Jibu la kitoto na zilipendwa.
Mbona hata kuku wa kisasa ukishauza lazima ununue vifaranga wengine?, Muhimu angalia faida na hasara. Kuna faida kubwa inayopatikana kwa kununua vifaranga wapya kuliko kuzungusha waliototolewa na kuku wa zamani hapo nyumbaniHaya ma GMO si ndio yale ukivuna, mwaka unaofata mbegu ununue tena ama!?
Haijalishi hasara zake, ipo siku wanasiasa wataipitisha.
Sayansi ya GMO ipo miaka mingi sana! Mojawapo ni hii ya kufanya Kuku atage yai bila Jogoo(kwa sasa Israel wanao kuku anataga mayai 2 kwenye muda wa masaa 24) na Ngombe anaetoa maziwa lita 40+ katika muda wa masaa 24. Samaki Sato wa Kufugwa anaefikia Gram 500 kwa miezi 3 akiwa ndani ya Bwawa.Mosanto ni sawa ameweka hizo sheria na yeye karibia 70 ya Mbegu za mazao mbalimbali Duniani anazimiliki yeye.Skia mkuu kuna kampuni inaitwa mosanto kama sikosei kule marekani wanajihusisha na uzalishaji mbegu za kilimo ambazo ni GMO. Wana sheria yao kwamba ukinunua mbegu kwao ukapanda, ukavuna unaruhusiwa kutumia mavuno kama mbegu kwa msimu mwingine mmoja tuu otherwise wanakuahtaki mahakamani. Sasa utakua umepata angalau picha ya hizi vitu.
Waambie hao wanaoishi maisha ya kizamani katika Karne ya sayansi na teknolojia, ni aibu kwa mtu aliyesoma hadi chuo kikuu kupinga tafiti za sayansi kwa kutumia maneno ya mitaani na kusoma vijarida vya mitaaniSayansi ya GMO ipo miaka mingi sana! Mojawapo ni hii ya kufanya Kuku atage yai bila Jogoo(kwa sasa Israel wanao kuku anataga mayai 2 kwenye muda wa masaa 24) na Ngombe anaetoa maziwa lita 40+ katika muda wa masaa 24. Samaki Sato wa Kufugwa anaefikia Gram 500 kwa miezi 3 akiwa ndani ya Bwawa.Mosanto ni sawa ameweka hizo sheria na yeye karibia 70 ya Mbegu za mazao mbalimbali Duniani anazimiliki yeye.
NINI KIFANYIKE KWA TANZANIA:??
Sokoine Unversity wanaweza kuzalisha Mbegu zote tunazozihitaji kama Taifa na ata kuuza nje ya Tanzania.
Ni aibu kwa Tanzania mpaka leo miaka 60+ ya Uhuru atuwezi ata zalisha vifaranga wa kuku wa mayai au Nyama. Au Kuwa na Ngombe wetu(elewa maana ake).
Mpaka sasa ata chakula bora cha kulishanSamaki,Kuku n.k Wafugwao ni Imported.
Do you even know about GMO?