HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Oct 6, 2022 #21 Wakenya ni wafugaji wakubwa wa Kuku, hivyo wanahitaji Mahindi wakato wote Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wakenya ni wafugaji wakubwa wa Kuku, hivyo wanahitaji Mahindi wakato wote Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Oct 6, 2022 #22 Yaani sisi ni shamba la Kenya
N nabiidaniel JF-Expert Member Joined Feb 25, 2014 Posts 1,937 Reaction score 2,678 Oct 6, 2022 #23 Bujibuji Simba Nyamaume said: Yaani sisi ni shamba la Kenya Click to expand... Ni fursa nzuri, Kama tungeitumia, wakulima wa mahindi ni maskini sana kwa ajili kukosa soko!!!
Bujibuji Simba Nyamaume said: Yaani sisi ni shamba la Kenya Click to expand... Ni fursa nzuri, Kama tungeitumia, wakulima wa mahindi ni maskini sana kwa ajili kukosa soko!!!
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Oct 6, 2022 #24 nabiidaniel said: Ni fursa nzuri, Kama tungeitumia, wakulima wa mahindi ni maskini sana kwa ajili kukosa soko!!! Click to expand... Ni Kweli kabisa
nabiidaniel said: Ni fursa nzuri, Kama tungeitumia, wakulima wa mahindi ni maskini sana kwa ajili kukosa soko!!! Click to expand... Ni Kweli kabisa
Patandi JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 420 Reaction score 397 Oct 6, 2022 #25 nabiidaniel said: Ni fursa nzuri, Kama tungeitumia, wakulima wa mahindi ni maskini sana kwa ajili kukosa soko!!! Click to expand... Wakulima wa mahindi Tz si maskini Kwa kukosa soko bali Kwa kupangiwa bei ya mahindi na pembejeo bila kifuata uhalisia wa gharama na faida Kwa mkulima. Mkulima hana sauti wala maamuzi katika shughuli zake.
nabiidaniel said: Ni fursa nzuri, Kama tungeitumia, wakulima wa mahindi ni maskini sana kwa ajili kukosa soko!!! Click to expand... Wakulima wa mahindi Tz si maskini Kwa kukosa soko bali Kwa kupangiwa bei ya mahindi na pembejeo bila kifuata uhalisia wa gharama na faida Kwa mkulima. Mkulima hana sauti wala maamuzi katika shughuli zake.
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Oct 6, 2022 #26 Kenya Wana uwezo wa kuchunguza gmo!?..hao hata wafanyeje,hawawezi jilisha
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 8, 2022 #28 Kila la kheri kwa majirani...