Kenya yasalimu amri kwa Tanzania, yaingiza Tanzania katika orodha ya nchi zinazoruhusiwa kuingia Kenya bila masharti yoyote

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Kenya imetoa orodha mpya ambapo imeingiza nchi ya Tanzania katika orodha ya nchi raia wake wabaruhusiwa kuingia Kenya bila masharti yoyote.

Hii inakuja baada ya Tanzania kuzifungia ndege za Kanya kuingia Tanzania kwa takriban miezi miwili sasa na kusababisha kuyumba kwa sekta za utalii na usafiri wa anga nchini Kenya.

Kwa kipindi chote hicho, Kenya imekua ikifanya jitihada kubwa za kuibembekeza Tanzania kuruhusu ndege za Kenya bila mafanikio, serikali ya Tanzania imekua ikisisitiza kwamba hakutokua na mazungumzo hadi pale Kenya itakapoiweka Tanzania katika orodha hiyo, jambo ambalo leo Kenya imetekeleza

Swali la kujiuliza ni: Kenya imetumia vigezo gani vilivyoifanya kuirudisha Tanzania katika nchi ambazo hazina maambukizi ya Virusi vya Corona?

Kenya hoyeeeee?
 
Mpaka watuambie kwanini sasa hivi wameweka Tanzania katika hiyo orodha na kwanini mwanzoni hawakutuweka?, lazima wajiekeze kwa kina hakuna kuwaruhusu mapema, tumechoka na upumbavu wao hawa wapumbavu.
I concur with u lazma tuwaweke kwenye line moja hawa western puppets! we had to remind them of their rightful position to us i.e. their irrelevancy to us!
 
Hawa ni kuwanyoosha kwanza ili viburi vya kishamba viwaishe,

Embu watuwekee na vigezo walivyo vitumia mwanzo na walivyo tumia leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sioni uwezekano wa Tanzania kuruhusu ndege za Kenya hivi karibuni, lazima wajue kwamba Tanzania ndio baba hapa East Africa, lazima tuwatie adabu hawa wajinga.
 
wahakikishe "tunawanawangojelesha" mpaka tunapata routes za Dar-Nairobi, Znz-Nairobi, Mwanza-Nrb, Znz-Mombasa, Dar-Mombasa, Mwanza-Kisumu kwanza!
 
Naona wamepotea wote hapa wanaogopa kujitokeza, wanachungulia kwa mbali, tumebaki wenyewe tunatamba tuwezavyo[emoji23][emoji23][emoji23].

Hii inanipa picha siku kukitokea vita kati ya Tanzania na Kenya, siku ambayo majeshi yetu yameikamata Nairobi na wakenya wote wamejifungia ndani ya nyumba zao wamebaki watanzania pekee wamejaza mitaa ya Nairobi wanasherehekea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa watatuhujumu ndege zetu. Tunaweza kupeleka ndege wakaizuia kijinga kijinga tu na kuleta migogoro ambayo hainatija.

Unajua mtu aliyeishiwa he has nothing kupoteza.
Tanzania isubiri kwanza route hiyo.
Hawa jamaa hawana akili.
 
Naona wamepotea wote hapa wanaogopa kujitokeza, wanachungulia kwa mbali, tumebaki wenyewe tunatamba tuwezavyo[emoji23][emoji23][emoji23].

Hii inanipa picha siku kukitokea vita kati ya Tanzania na Kenya, siku ambayo majeshi yetu yameikamata Nairobi na wakenya wote wamejifungia ndani ya nyumba zao wamebaki watanzania pekee wamejaza mitaa ya Nairobi wanasherehekea[emoji23][emoji23][emoji23]

Teh teh teh
Hatuwezi kufanya hivyo kwa wadogo zetu.
😛😛😛
 
Kenya imetoa orodha mpya ambapo imeingiza nchi ya Tanzania katika orodha ya nchi raia wake wabaruhusiwa kuingia Kenya bila masharti yoyote.

Hii inakuja baada ya Tanzania kuzifungia ndege za Kanya kuingia Tanzania kwa takriban miezi miwili sasa na kusababisha kuyumba kwa sekta za utalii na usafiri wa anga nchini Kenya.

Kwa kipindi chote hicho, Kenya imekua ikifanya jitihada kubwa za kuibembekeza Tanzania kuruhusu ndege za Kenya bila mafanikio, serikali ya Tanzania imekua ikisisitiza kwamba hakutokua na mazungumzo hadi pale Kenya itakapoiweka Tanzania katika orodha hiyo, jambo ambalo leo Kenya imetekeleza

Swali la kujiuliza ni: Kenya imetumia vigezo gani vilivyoifanya kuirudisha Tanzania katika nchi ambazo hazina maambukizi ya Virusi vya Corona?

Kenya hoyeeeee?
China ulikoanzia eti ya 26, TZ majirani eti mko na korona, stupid kabisa! Sisi bila Kenya tunaishi tu! Sasa lini Tz korona imeishaa? Watuache kwanza tuna jambo letu tar 28, magu 5 tena
 
Back
Top Bottom