Kenya yasitisha ajira za watumishi wa umma kwa miaka 3

Kenya yasitisha ajira za watumishi wa umma kwa miaka 3

Sijui mkoje nyinyi. Yani mtuanauangusha uchumi maksud. Angalia alivyofanya kwenye Korosho.
Jiwe hafai narudia JIWE HAFAI
ah, nchi yetu masikini sanaaaa, yani masikini sana kupita maelezo, sasa kama tunaishi kwenye nchi yenye umasikini wa kupindukia na hatuoni maumivu ya umasikini ujue hatupigi hatua. Magufuli anajua anafanya nini, mimi nimemuelewa.
 
Umemuelewa nini?
Na kwanini hujaweka namba za simj hapo chini?
jamaa anataka kutengeneza uchumi imara, Magufuli anapenda kujitegemea.
Sijaelewa namba ya simu yanini wakati hili sio tangazo la biashara?
Kenya wanalalamika hawana hela ya mishahara ya watumishi wa umma, sisi hili suala limeshughulikiwa muda mrefu sana kwa kupunguza watumishi wasio na sifa, kuajiri kiasi na kupandisha madaraja kwa makundi machache.
Tatizo hawatuambii tu ukweli ila wanafanya kazi nzuri sana.
 
Kenya mbona siwaelewi

Yaani pamoja na maexport makubwa hivyo na mabusiness mengi hapo kwenu kweli ifikie mnashindwa kuajiri?
 
Sasa kama wamesimamisha ajira na bado University zinaendelea kuzalisha wasomi, wataenda wapi?, au ndio wanataka kupata sababu ya kulianzisha kama wenzao wa South Africa?
 
Bora wao wamekuwa wakweli
Hata sisi tutaelekea huko
Aaaah weee Tz hatuwezi kuelekea huko hatta siku moja sisi tz tunaishi kwa reality tatizo hawa kenyans wanaishi ki scenario na superiority complex flan hv.
 
Back
Top Bottom