Mtyela Kasanda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 554
- 818
ah, nchi yetu masikini sanaaaa, yani masikini sana kupita maelezo, sasa kama tunaishi kwenye nchi yenye umasikini wa kupindukia na hatuoni maumivu ya umasikini ujue hatupigi hatua. Magufuli anajua anafanya nini, mimi nimemuelewa.Sijui mkoje nyinyi. Yani mtuanauangusha uchumi maksud. Angalia alivyofanya kwenye Korosho.
Jiwe hafai narudia JIWE HAFAI