Mtyela Kasanda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 554
- 818
ah, nchi yetu masikini sanaaaa, yani masikini sana kupita maelezo, sasa kama tunaishi kwenye nchi yenye umasikini wa kupindukia na hatuoni maumivu ya umasikini ujue hatupigi hatua. Magufuli anajua anafanya nini, mimi nimemuelewa.Sijui mkoje nyinyi. Yani mtuanauangusha uchumi maksud. Angalia alivyofanya kwenye Korosho.
Jiwe hafai narudia JIWE HAFAI
jamaa anataka kutengeneza uchumi imara, Magufuli anapenda kujitegemea.Umemuelewa nini?
Na kwanini hujaweka namba za simj hapo chini?
Aaaah weee Tz hatuwezi kuelekea huko hatta siku moja sisi tz tunaishi kwa reality tatizo hawa kenyans wanaishi ki scenario na superiority complex flan hv.Bora wao wamekuwa wakweli
Hata sisi tutaelekea huko
Basi mbona mmesitisha ajira kwa miaka 3???Bajeti yetu mara mbili yenu. Nyamazia hapo