Kenya yatajwa kuongoza kijeshi nchi za Afrika Mashariki

Kuongoza kijeshi au kuwa na jeshi bora zaidi A mashariki!
Kishwahili kigumuee?
 
Wapasua matofali sijui mnapinga nini. Kenya ina ndege na helicopter nyingi, vifaru vingi na bajeti yao ndio kubwa a.mashariki. hivo ndo vigezo muhimu kwenye kuangalia ubora wa jeshi.
Kma resources ndio kigezo mbona hawasemi Tanzania ndio nchi tajiri kuliko zote East Africa maana tuna resources valuable kuliko nchi zote za East africa!!!
Ndio maana kuna mtu humu kasema kenya ni bora kwenye makaratasi ila naamini tactically na strategies hta wanayarwanda au waganda hamuwawezi
 
SIJUI VINATUMIKA VIGEZO GANI MANAKE MAJESHI MENGINE HAYAKO ACTIVE
 
Kwanza mi sio mkenya. Halafu Haijalishi una resources gani kama hujawekeza kwenye jeshi. Kenya wamewekeza asilimia 5 yao pato lao kwenye jeshi. Bajet ya jeshi la tz haijafika hata nusu ya kenya. Na pia wametuzidi kiuchumi. Tactically huwezi kujua nani zaidi kwasababu nchi za E.Africa hazina uzoefu na vita. Tz haijapigana vita against a real army (achana na hivi vikundi vya waasi ). Halafu tz jeshi kwetu sio priority ndo mana serekali inaona bora kuwekeza hela kwenye mambo mengine. Hakuna threat yoyote kwa usalama wetu. Kenya wanapambana na ugaidi wa alshabab ndio mana wamewekeza sana kwenye jeshi. Kenya asilimia 5 ya bajet yao inaenda kwenye jeshi. Sisi ni asilimia 0.8...sijui kwanini watu wanataka kupindisha ukweli.
 
Wewe bajeti ya jeshi letu JW ni nani alikuambia
 
Kwani al shabbab wana vifaru vingapi hadi wana teketeza kambi nzima ya kdf wakenya shukuruni al shabbab atukuwapa mafunzo sisi vinginevyo wangewamaliza kitambo kama tungewafundisha
 
Du hiyo elimu yako hata kusema niya darasa la 7 ni aibu bora ungesema unamatatizo ya akili hivyo ujasoma kabisa atiii KENYA ILIPATA FURSA HIYO KWA SABABU YA DHANA BORA WALIZONAZO kwani hiyo ni fursa kuipigania USA masilai yao
 
Kenya hata kama wanapenda sifa ila hapo watakataa kuwa wamependelewa.
 
Mlivamiwa na Al shabaab wanne tuu pale Westgate mkapeleka kila aina ya zana za kivita(vifaru,mizinga,Helkopta ndege za kijeshi na hata kungekuwa na uwezekano wa meli za kijeshi kufika Westgate mgepeleka) na bado Al shabaab wakafanikiwa kuwatoroka mkaishia kuiba vitu vya MALL tuu........KDF oyeeeeeeee
 
Aah
Izo taarifa si anaweza kuweka ata mlevi wa wanzuki unaziamini vp
Mambo ya bajet ya jeshi sio siri hata nchi kubwa kama Russia, usa, china wanatangaza bajet zao utakuwa tz? Mi nimeweka Wikipedia kwasababu ndio result ya kwanza Iliotokea kwenye Google. Unaweza hata wewe kusearch kwenye source zingine na kujiridhisha
 
Mambo ya bajet ya jeshi sio siri hata nchi kubwa kama Russia, sa, china wanatangaza bajet zao utakuwa tz? Mi nimeweka Wikipedia kwasababu ndio result ya kwanza Iliotokea kwenye Google. Unaweza hata wewe kusearch kwenye source zingine na kujiridhisha

Nyie Wakenya mnamatatizo Kajeshi kenu ni kahovyo, Al Shabab wamewashinda.

Tanzania wamezipiga na Portuguese in Mozambique, Angola and Guinea Bissau. Tumezipiga na Waingereza wa Rhodesia, Ian Smith now Zimbabwe. Tumezipiga na Apartheid in Namibia, Mozambique and in Seychelles.

Tumezipiga na Libya and PLO, wakiwa na silaha babu kubwa na tukawatuliza.

Renamo waliokua vibaraka wa Makaburu tuliwatuliza pia ndani ya Mozambique.

Juzi tu tulituma vijana wa kawaida kama 300 tu, mapigano ya masaa matano yalitosha kutuliza mapinduzi ya Kijeshi in Comoros.

Pia ni juzi juzi tu tumetoka Congo DRC kuwatuliza wanajeshi wa Rwanda and Uganda wanaoenda kwa jina la M23.

Sisi sio saizi yenu.
 
Una kipimo gani cha kuamua kuwa Alshabab wamekubuhu?
Jeshi ni nidhamu na nyenzo.Sasa kwa nyenzo walizo nazo wakenya,wanapigwa na wahuni wanaotumia AK-47,hawana ndege wala vifaru,hata kama wamekubuhu vipi kama jeshi imara wanafyekwa tu
Mh hata ukienda Afghanstan utakuta wataleban na al caeda wanatumia AK 47 US na Washirika wabahenya miakaka mingapi? , China wamesumbuliwa na Jimbo la Taiwan mpaka Mchina amelegea... Al Shaabab usiwachukulie poa, nakumbuka sio muda mrefu majambazi walitusumbua kdg tu hapo Tanga si tuliona JWTZ walienda na mizinga usiku kucha wanaifyatua tu... Hawakumpata jambazi hata mmoja, ila askari kama wanne waliuawa. Kenya kusumbuliwa na Al Shabab sio kipimo cha udhaifu wa Jeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…