Sadock Kabuko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 1,166
- 1,075
We sio mtanzania Tanzania hatuna akina chiko mkunungu utakua mkikuyu wewemm ni mTanzania Tanzani atuwezi ifananisha na kenya cc tunakila kitu lkn tuko nyuma sana kimaendeleo Tuwe wakweli tuu tusipende ubishana tufanye juhudi na cc tuwazidi wa Kenya na c vinginevyo...