Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No any African head of state condemned or lobbied for boycotting ICC when the warrant of arrest was issued for Omar Al Bashir. Where was Kenya or Uganda by then?
Mkuu, ni nchi 14 tu za kiafrika ndiyo waliafiki masuala ya UHURURUTO, hivyo hili si suala la 'Waafrika'.Jammu Africa, Waliongea kwa sauti mmoja,,,Addis Ababa,,wakaandika barua ambayo itawasilishwa katika UN,,
ikiwa na signature 49 za marais wa Afrika.
Just because someone committed crimes against humanity while they were not in office doesn't mean they should be given an amnesty when they get elected. Nobody is above the law.Because Al Bshir may have committed whatever accused of,,when still the
president of Sudan and every one may have seen what happened in Darfur.
But Uhuru Kenyatta was not a president,,nor a presidential candidate in 2007
,,for the truth will always,,remain that,,,
Chaos of 2007 was caused by disputes of elections results where Uhuru
nor,,Ruto were not,,,candidates.
So no one knows what happened in Kenya,,Museveni cannot tell,,Jonathan
Goodwill of Nigeria doesn't know,,nor the president of South Africa.
Because they asks,,,how can a person,,accused of,,,inhumanity,,,where,,,,,,
he wasn't a presidential candidate in 2007,,go ahead and win,,overwhelmingly,,
the presidency of the same country,,in the next,,,very peaceful
general elections of 2013
That is why many African leaders,,cannot understand,,,akina,,Kagame,,Museveni,,
who knows betters what goes around,,in this region,,than those damning western
countries.
Accused,,by the same Holy,,western countries???? who are using drones to kill
children and women in other parts of the world????
Ndugu yangu wewe hujamjua vizuri huyu kikwete unaempigia tarumbeta hapa! tuachie sisi tumetoka nae mbali,halafu nikuulize,hivi Tanzania mnaikumbuka tu wakati wa mikakati yenu ya kujinasua kutoka ICC? Msifikiri sisi ni wajinga kiasi hicho,tunawajua marafiki wa kweli wa jamhuri yetu tukufu.
Africa tutajuta kuwa na Maraisi kama haya.... mamwaga damu... Nyerere alishasema ukionja nyama ya Binadamu hutoacha..... Ina maana ni Tamu sana?
Ndugu hebu soma historia ya Afrika,,,,kutoka miaka ya sitini mpaka sasa.
Kisha,,,ulinganishe,,siku hizo na leo,,kabla ya kuongea kuhusu
marais wa Afrika.
Wakati mwingine,,nashangazwa na maoni ya watu wengine,,,aidha,,
hawajui lile wanalolisema,,ama,,,ni siasa zile za kawaida.
Wakati huu,,,wa Afrika wameendelea na wameshikana kuliko wakati
wowote.
Hawa marais wa kiafrika,,,niwao pekee,,,wakaamua kuingia
Somalia na sasa,,Somalia iko afadhali kuliko miaka mitano
ilio pita.
Wameweza kuyafanya yale mapepari wazungu walijidai
wanaweza,,kudumisha amani popote,,duniani.
Watu wamechanganyikiwa na mambo ya Kenya.
Hata majirani,,,ambao wanafaa kujua eti nini kilichofanyika
Kenya,,,hawajui chochote,,,mpaka waelezwe na BBC,,CNN,,
Yaani,,,lazima waelezwe kinachofanyika,,,hata kwao nyumbani.
Hebu soma haya ya huyu mama,,Frazer,,,mumarekani ambaye
alikua waziri mdogo,,,kuhusu maswali ya Afrika,,katika serikali ya
George Bush jnr,,,
In Summary
- Some African leaders have co-operated with the Prosecutor to indict their political opponents.
ICC has fallen from high ideals of global justice, accountability - Opinion - nation.co.ke
Yet on the eve of the election, several Western countries were seen as using the ICC indictment
to pre-emptively "try and convict" Uhuru Kenyatta in the court of public opinion, presumably to
tank his electoral prospects.
Huu ni mchezo wa hali ya juu,,,umekua ukichezwa na inchi za magharibi,,wakati
huu,,ilikua zamu ya Kenya,,,wao,,imperialists,, kutumia 2007 chaos,,,and appoint
who to lead Kenyans.
Kwaninin Bi Frazer,,akasema alio yasema,,,,hali yeye si kutoka Afrika,,
ama Kenya.
Yeye alihusika sana na yale yalio tokea Kenya,,,aliwahi kuja hapa,,wakati
huo,,na kwa hivyo,,,ana yaelewa yalio tokea kuliko watu wengi.
Kwasababu watu hawataki kujua ukweli kuhusu Kenya,,,,,watatoa maoni
meeeeengi,,,,lakini ni wa Kenya pekee yao watakao,,,amua.
Tuliamua tukamchagua Uhuru,,,ule ule tulitishiwa na Umarekani dhidi
ya kumchagua,,,,lakini tuliwaonyesha,,,,,,,, kwamba,,,,
We are the Captain of Our Ship,,,,,Kenya.
Akili za kawaida,,,,kwa kuelewa kwao,,ni,,,,kwamba Uhuru ni Muhalifu,,,
sababu,,,,,Muingereza,,,amesema hayo.
Lakini hawakujiuliza,,,,kwanini,,,,Uhuru Kenyatta ka chaguliwa na walewale
wa Kenya,,,ambao,,alidhulumu.
You do not have to be so bright,,,,sometimes,,,,to ask yourself,,,,,,,
questions,,such questions,,,,,like,,,,,why did so many Kenyans elect
the same president who have been accused by an international
court???????
Very simple,,,,
Majority of the Kenyans,,those who elected Uhuru Kenyatta,, do not have
confidence with ICC and accusations leveled against him.
This is what,,i feel,,,makes the African presidents take,,,the position they
have been taking on Kenya.
That is,,,,
It is impossible to elected the same man who inflicted harm into you.
The same man who made it possible for you to be displaced,,raped,,and
all those,,,funny charges.
Uhuru Kenyatta,,hakupindua serikali kama,,huko Misri,,,watu wamekufa zaidi
Misri,,Syria,,,,wengi wakafa,,kiunyama Sri Lanka,,,na hivi juzi,,inchi ya
Sri Lanka ika ionya ICC,,kutojaribu hata kidogo,,,kuingilia mambo yao.
Ni yapi haya makuu,,,Kenya ilio yafanya,,,,,,Give us a break.
Ni wa Kenya wenyewe,,,,walio jaribu,,kuiuza Kenya kwa marafiki
zao wama gharibi,,wakihaidiwa,,uongozi Kenya,,,na haya yanajulikana
na marais wa Afrika.
Uhuru tulimsikia sana alivyokuwa akifadhiri mauaji ya wajaruo kwa pesa nyingi alizokuwa nazo... nilisikia kulikuwa na msemo kuwa Kenya haiwezi tawaliwa na ruo
Maraisi gani hawa uozo mtupu nini walichofanya Somalia na gharama zote na silaha zinatoka kwa hao hao wazungu unaokandia.... Kenya wangeingia Somalia kwa Mishale kisha wakashinda hapo ningeelewa Maneno yako.... Hasara za kivita nadhani huzijui wewe Kenya hana uwezo wa kupigana na Somalia kwa Bajeti yake pekee.... Majeshi yaliyopo Somalia yana udhamini wake... wewe ni aina ya Wapotoshaji.... Africa sisi tunataka chaguzi huru na Maraisi wanaosimamia maendeleo yetu sio kama hawa Wauaji na Wezi wakuu... Mkuu Huna Nyimbo mpya zaidi ya Kutetea Uozo tu.... hapo ulipo yawezekana una njaa na kama umeshiba basi zunguka mitaani uone wananchi walivyo na njaa kisha rejea humu uwatetee...... Kagame ni muuaji but ni mtu wa Maendeleo
Ndiyo,,si mjui vyema lakini na zungumzia yaliyomo,,kwamba,,,
1. Tanzania imekua iki support Uhuru Kenyatta,,,,
2. Attorney general wa Tanzania,, akiiandikia ICC barua ya kukumbusha
vile mkataba wa Roma unavyosema,,,
3. Tanzania ilikua mmoja ya wale walio kusudia kujiondoa kutoka ICC,,,
Hivi ndivyo ilivyo.
Wa Tanzania wachache wenye shida zao za kibinafsi na Kenya,,,hawawezi kuelewa
ni vipi serikali ya TZ,,inavyofanya.
Lakini kua rais si mchezo,,,,rais si mtu wakawaida,,Kikwete ana hekima na,,anaona
mbele kuliko mtu yeyote,,,,, wakawaida.
Haya matatizo madogo kati ya inch jirani,,kote nduniani,,,yako,,yamekueko
na yataendelea,,,kuweko.
Tuna matatizo na Uganda,,,kuhusu migigo,,,,hali ambayo ingelileta vita kati ya inchi hizi
mbili,,,na bado hayajatatuliwa,,,,,,,Lakini,,,,,
Ni rais Museveni,,,, anayeongoza campaign dhidi ya ICC.
Hakuna vile TZ ingelienda kinyume na wengine. Vingumu sana,,hata kama Botswana
ingelikua katika East Africa,,,haingechukua msimamo ambayo,,ilijiwekelea.
Bottom line,,,Hakuna shida yeyote,,serious,,,,Kenya imekua na TZ kama Uganda.
Yale wanao zungumzia hapa,,,,hamna chochote,,,kwani hata hawawezi kutaja
,,,kwani,,,ni za,,kisiasa tuu,,ama za kawaida kama,,vile za kifamilia ambako
mambo yakitokea,,inje,,,wanaziweka kando na,,kukabiliana nayo.:smile-big:
Ni familia,,zile jinga tuu,,,ambao,,watashambuliwa na maadui kutoka inje
sababu wako na chuki zile za kawaida katika familia zao.
East Africa ni,,,familia,,,zile siasa eti wa TZ,,,wana wekwa kando na wengine,,,
hayo ni ya hapa tuu,,kwani hata TZ,,yenyewe,,,,imehusika kikubwa kwa hayo
kufanyika,,eti ya kutengwa,,,,lakini na sizitiza kwamba,,,nothing serious,,,
it happens,,all the time,,,a family member complaining eti anatengwa.
Ama,,kama vile watu wachache wa TZ hua wanataja,,,eti wa Kenya hua
wanajiona ni special,,,,,,hiyo si shida,,,,,,hayo ni maoni tuu,,ambao yanatokana
na vile wewe mwenyewe,,,unajichukua.
Kenya haina,,hajakua na,,haitakua na shida na TZ,,kama,,vile,,TZ haina shida
na Kenya,,,,,isipokua,,,,ONLY,,COMPE---tition,,,,which is,,healthy.
Lakini,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Asiye kubali kushindwa,,,,si mshindani.
Ahsante kwa,,Chai.
Unaongea kishabiki zaidi na ukweli huujui... pole sana ndugu... Marekani anatoa msaada wa Kijeshi kanda nzima na aliyekudanganya kenya haijapata msaada wa Marekani vita ya Somalia kukuacha gizani...Sikuelewi hata kidogo,,,ndugu:smile-big: Kama Kenya ingeliingia Somalia na mishale?????????????
Kabla ya haya,,,ilisemwa kwamba,,Kenya haiwezi vita,,,kwani hawajawahi kupigana.
Kenya ilipo ingia Somalia,,,,ho,,,walisaidiwa,,na nani,,umarekani na waingereza,,hao
hao wanataka rais wetu,,,afungwe jela,,,,wacheni mchezo.
Kweli vyombo vingi vya kivita,,,si Kenya ama waafrika wameziunda.
Lakini,,,ukweli ni kwamba,,,Kenya iliingia Somalia,,,ikitumia bajeti yake,,lakini,,baada
ya KDF kua chini ya AMISOM,,hapo sijui vizuri lakini ukweli ni kwamba,,Kenya haikusaidiwa
na yeyote.
Na kama unajua zaidi,,,,tafadhali support your argument with a link.
Hakuna mzungu yeyote aliyengarimia KDF,,,kuingia Somalia.
Serikali ya umarekani,,,,haikufurahia hata kidogo,,,wakaikosoa
serikali ya Kenya kwa kupanga haya yote bila ya kuwaarifu.
Wamarekani hua ni watu wamadharau,,,,hawawezi kupatia Kenya,,
zana za kivita eti,,washambulie Somalia.
Ungependa kuamini haya,,,sababu wewe ni mmoja ya wale
wanafikiria,,kwamba,,,bila mzungu,,,mwaafrika anaangamia.
Nakueleza ya kwamba,,,mzungu bila bara la Africa,,,anaangamia.
Not the other way round.
Wa kwanza kuingia Somalia,,walikua wa Ganda,,,sasa,,museveni
alipewa zana ndivyo aingie Somalia????????.
Kwanini hawa,,supermen,,,hawakupatia Kenya zana za kivita
wakati meli zao zilikua za tekwa kila mara,,,katika Indian
Ocean????Si waliwalipa hawa maharamia,,ma dollars ndivyo
wanainchi wao,,waachiliwe???
Pindueni mawazo yenu mambovu,,,kujihusu nyinyi wa Afrika.
Mulifungwa minyoro mpaka ikawa sehemu zenu za mwili.
Ni madharau ya hali ya juu,,,kusikia mwa Afrika akitumia hii lugha
mbovi.
Eti mwa Afrika hajiwezi.
Sikulishwa na mzungu yeyote leo,,jana ama juzi.
Kama wewe haujiwezi,,,mimi Jammu Africa,,najiweza,,nchi yangu,,
yajiweza,,na ndivyo nilisema,,si taenda Umarekani ama Ulaya,,,eti
kutafuta vile mababu na mababu ya wazungu walio watengenezea
watoto wao.
Nitaishi Kenya,,nitaijenga Kenya,,,kwa manufaa ya watoto na watoto
wa watoto wangu.
Sitanyoosha mkono wangu,,,,nikitaraji isaidizi,,kutoka kwa hawa,,ma supermen
wenu.
Kifaa kile mwenyeenzi mungu amenipatia,,,ni akili zangu,,na nitatumia,,
to the fullest,,,na kwa sasa niko katika internet na,,hao hao wazungu
mnapenda kuimbia nyimbo za sifa.
NB,,,Rasasi zote Kenya,,,,zaundwa hapa Kenya,,,,katika bullet manufacturing
plant,,Eldoret,,kama hauna habari ndugu,,,zichukue,,hizo,,ni moto moto.:smile-big:
Na kama unahitaji habari zaidi,,,risasi ndio bunduki,,,,chukua risasi,,,ichapilie,,
pale nyuma yake na kitu kama,,msumari,,maganda yatakurukia na risasi kwenda
mbele.
Kwahivyo,,,,bunduki ni kama,,,kijiko na chakula,,,,,,,,,
Hebu walete hizo,,eti sanction,,,,na mtajionea,,,wacha hivyo,,mnaongea.