Jammu Africa
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 530
- 59
ndugu yangu kit kinachonishangaza kwenu nyie wakenya ni jinsi mnatuchukulia sisi wa TZ,hizo hekima na busara za kikwete mnazitambua pale tu mnapomhitaji kuwaunga mkono kujitoa ICC? busara hizo ndio alizitumia kumshauri kagame na akaishia kutukanwa na hakuna kiongozi yeyote wa kenya aliesema kitu! leo mnamuona wa maana kwa sababu anasema lugha mnayoipenda kuisikia? Na mtu mwenye akili hawezi kumwamini museveni kuhusu ICC kwani si ni serikali yake ndio ilipeleka kesi ya JOSEPH KONY kule ICC? kwanini hakumshtaki kwenye mahakama za uganda? Huu mchezo mnaofanya tunaujua vizuri na ni kwa nini nhakuna mtu anaezungumzia wale victims wa post election violence watapata wapi haki yao? au wao hawana haki?
Lakini haya,,ni ya rais Kikwete,,,,yeye mwenyewe,,,kuyajibu,,,
usitulaumu sisi,,,,,hakuna mtu aliyemlzimisha kufanya vile alivyofanya.:smile-big:
Kama amefanya makosa sana,,,kwanini hatujaona maandamano
TZ,,dhidi ya rais Kikwete,,ama watu hawawezi kuandamana
Tanzania.
Sijasikia popote pale watu wamemulaumu kwa ku support
AU na Uhuru.
Chuki dhidi ya Uhuru iko hapa katika hii forum,,,na ni
wachache tuu ambao,,hawana uwezo wowote,,ni
kuteta tuu lakini baadae,,,itabidi wakubaliane na
yale yatakayo,,tokea.
Uhuru na Kazi.