Tuache siasa katika mambo ya kisayansi, let us tests our produce na kuwaprove wrong. Tuache kengele zisizo na mashiko. Nasikia ndio wanajifaragua kuanza kupima hii inamaana hata watanzania inawezekana tulikuwa hatarini kwa kula mahindi ambayo hayajapimwa. Ni hatari sana. Nimeona matangazo za madawa ya kukaushia mahindi na watu wasiyaweke au kuanikia juu ya udongo watumie vifaa vya kuanikia kuavoid hizo shida.