this man is not talking mere gibberish like what you are doing here, hizo takwimu haziakisi chochote kwenye ground, yes mnaweza kuongoza kuexport lakini sio ninyi mliolima
Huyu unaesema ni propagandist wa CCM kwa taarifa yako ni mkulima billionaire wa Parachichi ambae hakuna kima yeyote hapo Kenya anaweza mwambia kitu kwenye hass business
Cheki hiyo tweet akiwa kwenye annual entrepreneurial benchmark na hiyo video ya YouTube akiwa kwenye moja ya mashamba yake, that guy has more than 2000 acres of hass
Mikoa inayolima hass Tanzania ipo zaidi ya 10 kutokana na Tanzania kuwa na favorable conditions for growing hass na zipo packaging lines za kutosha tu kwa ajili ya export,
In short mzigo wa Tanzania mostly unaenda overseas via sea sababu ni way massive na what you don't know and uniquely about Tanzania avocados is when the whole world goes off season ndio avocados za Tanzania zinaanza picking season na kujikuta zipo zenyewe sokoni bila rivals yeyote
ha ha ha ...let me tell you about international trade...
1.you may lie about how much you are exporting but the nations where you send your goods esp North America,Europe , South East Asia and middle east keep very diligent records..
In those countries Exporting farm products is very strict, they have to keep a record of everything to prevent diseases...
So when the records from the international organisation say Tanzania is not a top exporter...kuna data ....hii data ninayokupatia hata si ya Kenya Govt ... ni ya international organizations...
2. Exporters in Kenya like Olivado , Kakuzi and others have to inspect farms where the avocados are grown...European Union has very strict rules regarding products sold to their people..
They come to the farm , inspect and sign contracts...in our area they are even giving us seedlings..
These international exporters cannot come build huge factories In the Kenyan interior and then start getting avocadoes from TZ , it does not make sense for them...
Hata wao wanaingia mikoani kutembelea wakulima..
Kwa hivyo huyo jamaa anasema eti wanunuzi wanakuja Nairobi halafu tunawatafutia Avocado Tanzania ni uongo..
Hiyo ni kuonyesha hata hajui hio soko inavyoendeshwa....
Exporters wako Kenya... hao ndio wanawapa wakulima contracts za kukuza na kuwauzia....
Kwanza hii kampuni inayoitwa Olivado ina factory kubwa huko Muranga, walikuwa wameanza kazi yao Nairobi, halafu wakahama na kujenga huko Muranga... si wangekuja tu Tanzania????
Pia, the weather in Kenya is the best for growing avocado all year... even better than Tanzania...check your agri records
Sisemi Tanzania hamlimi Parachichi, get me well...what we are saying is that Kenya is the biggest producer in Africa...
Nimekuuliza swali rahisi, iweje tuuze tu 10% ya avocado zetu nje ya nchi, halafu tuwache 90% bila soko, then hiyo 10% tununue Tanzania???
Kwa saa hii Wakulima wanatafuta Soko ya 90% inayobaki hapa...kwa nini tutafute soko na hatuna???
Watu wa eneo la rift valley wameanza kulima Hass pia... Ukulima unapaa kwa kasi hapa kaka...
Nyinyi endeleeni kutafuta soko nje pia..