Kenya yatuma matunda tani 40 Uingereza

Kenya yatuma matunda tani 40 Uingereza

Yes, kuna soko la Tanzanite yenye chapa za Tanzania, hilo nakubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
1587329905210.png
 
Pia mlikuwa mnauza Tanzanite kushinda Tanzania. Ila kwa Sasa takwimu zinasoma vipi?

Tulia sio muda mrefu takwimu za parachichi utaziona tu. Halafu acha Kuhamisha magoli. Kusali ni kawaida yetu.

Umeshafua mask ulizookota?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa TAHA wenyewe wanasema you are producing only 7000 tonnes annualy ...hizo ni takwimu za Serikali yenu kaka.
siyo mimi kusema...

Commercial production of avocados is dominated by RAC and Africado Limited, which is based in Siha District, Kilimanjaro Region.

The two companies jointly produce more than 5,000 tonnes per year.

Kwa hivo wakulima wanazalisha 2000 tonnes only...

1587330517275.png

1587330582734.png
 
Ngoja atafute tweet akujibu 😆 😆😆😆
Watu wa maajabu sana hawa... 7000 tonnes hata wakiuza yote Kenya itakuwa 7000 / 110000 ....a measly 6 % ..
halafu wanatuletea tweet za kijinga eti wanunuzi wanakuja Kenya halafu tunawatafutia avocado TZ...

Kwani hao wanunuzi ni wajinga hawajui product inakotoka wakanunue huko ???
 
Sasa TAHA wenyewe wanasema you are producing only 7000 tonnes annualy ...hizo ni takwimu za Serikali yenu kaka.
siyo mimi kusema...

Commercial production of avocados is dominated by RAC and Africado Limited, which is based in Siha District, Kilimanjaro Region.

The two companies jointly produce more than 5,000 tonnes per year.

Kwa hivo wakulima wanazalisha 2000 tonnes only...

View attachment 1424156

View attachment 1424157
Hiyo ni production kwenye wilaya moja tu ya Siha mkuu. Bado mikoa mingine. Huko Njombe kuna production kubwa sana na ndio mnako source parachichi na kuzifanyia packaging ya lebo yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni production kwenye wilaya moja tu ya Siha mkuu. Bado mikoa mingine. Huko Njombe kuna production kubwa sana na ndio mnako source parachichi na kuzifanyia packaging ya lebo yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

kizungu kigumu lakini hapo kwa red ndani ya ripoti ya TAHA, country kwa kiswahili ni wilaya kweli. Annually- maana yake sio kwa mwaka au mie kizungu kinanipa chenga.

From Tanzania Horticultural Association( TAHA)
Avocados are increasingly becoming Tanzania's green gold, with Tanzania Horticultural Association (Taha) figures showing that the country produces about 7,000 tonnes of the fruit annually. Commercial production of avocados is dominated by RAC and Africado Limited, which is based in Siha District, Kilimanjaro Region. Tanzania: Fresh Hope for Over 20,000 Avocado Growers
Kenya
2372597_1587252872778.png

Overview of the Avocado sector in Kenya
Although Kenya's commercial production of avocado began only 40 years ago, avocados are now estimated to be the fourth most important national fruit crop, behind only to banana, mango and pineapple. Moreover, avocados have grown to represent 17% of Kenya's total horticultural exports.

Kenya ranks as one of the largest avocado exporters in the world (11th in 2014) and has experienced rapid growth in exports over the last decade. Avocados are produced commercially in seven different provinces of Kenya. 70% of the avocados are grown by smallholder farmers who have 5-20 trees per homestead, 20% by medium scale farmers who have over 100 trees and 10% from commercial plantations which have 10 hectares or more in production.

2372598_1587253085967.png

Avocados in Kenya: what’s holding back smallholder farmers

Kenya is the world’s third largest producer of avocados. It’s also Kenya’s leading fruit export, accounting for nearly one-fifth of its total horticultural exports.

But Kenya only exports 10% of its total avocado production. By comparison, Chile exports 55% and South Africa exports 60%.
The Conversation: In-depth analysis, research, news and ideas from leading academics and researchers.
 
Hiyo ni production kwenye wilaya moja tu ya Siha mkuu. Bado mikoa mingine. Huko Njombe kuna production kubwa sana na ndio mnako source parachichi na kuzifanyia packaging ya lebo yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Can you read well...TAHa says tz produces only 7,000 tonnes... Go argue with them
kwa hivo kama tunanunua avocado zenu.. Zetu tunapeleka wapi.
 
Taha is a private company, not government agency, they do their statistics basically in their operational circles so stop escaping goating them, won't work on this hard facts
Screenshot_20200420-064856.png
Can you read well...TAHa says tz produces only 7,000 tonnes... Go argue with them
kwa hivo kama tunanunua avocado zenu.. Zetu tunapeleka wapi.
 
EWCrBKXWsAEtnnN

EWCrBKUXgAEVfLh

EWCrBKSWoAELeAy

EWCrBKoWoAAgZHR

MY TAKE
I wonder what r the KQ dreamliners doing? Such a useful country can't even take advantage of Tanzania not having established routes to Europe and North America! Yet u r all here bragging of being agressive!
 
Back
Top Bottom