They are obsessed with planting maize and beans.... very basic (lazy) agriculture that requires minimal input.in terms of Agricultural output, Kenya really punches above its weight...
Tanzanias should be ashamed to compare themselves to us.... wanafaa kuwa level ya South Africa in output
Umeishiwa, huna hoja. Sijui unanuia nini na hizi nyuzi za mapema 2018 mlipokuwa mnaisifia Tz ya viwanda na pigo kwa Kenya ambalo tulilingojea hadi tukachoka. Murang'a avocado farmers get Sh88 million Umesoma taarifa hizi kwenye hiyo link utadadavulie zaidi. Tuelewe inakuwaje wakulima wa maparachichi kwenye gatuzi moja tu la Murang'a nchini Kenya walilipwa KES 88million, moja kwa moja na exporters mwaka wa 2019. Wakati maparachichi yenyewe ya export unadai kwamba yanakuzwa na wakulima nchini tz.
Wakulima wamelipwa.Nimesema huko juu sisi waafrica tumezaliwa na upumbafu, korosho ambazo serikali imemdhulumu mkulima na kwenda kuzifungia kwenye maghala?
Wewe nyanga'u Hivi haujuwi kuwa hata sima (chakula) yenu Leo hii inatoka Tanzania? ...Umeishiwa, huna hoja. Sijui unanuia nini na hizi nyuzi za mapema 2018 mlipokuwa mnaisifia Tz ya viwanda na pigo kwa Kenya ambalo tulilingojea hadi tukachoka. Murang'a avocado farmers get Sh88 million Umesoma taarifa hizi kwenye hiyo link utadadavulie zaidi. Tuelewe inakuwaje wakulima wa maparachichi kwenye gatuzi moja tu la Murang'a nchini Kenya walilipwa KES 88million, moja kwa moja na exporters mwaka wa 2019. Wakati maparachichi yenyewe ya export unadai kwamba yanakuzwa na wakulima nchini tz.
Acha kujibu kisiasa we jamaa wewe ndiyo ulio walipa?Wakulima wamelipwa.
Ndio maana wanamwaga povu humu na wanashangaa kusikia kwamba Kenya inaongoza bara hili kwenye uzalishaji na export ya mazao ya aina hiyo, yenye thamani ya juu. Kwa ardhi yao ambayo ni karibia mara mbili ya Kenya yenye mvua na rotuba, tofauti na Kenya ambayo ni jangwa kwa 89%, hawafai kuwa wanajilinganisha na sisi. Ila ndivyo hali ilivyo, badala ya serikali ya serikali yao kuwahamasisha wafanye ukulima biashara wao wamejikita kwenye ukulima wa jasho na jembe. Mtaji wa chama chao cha mafisi ni umasikini, ndio maana utawaona mawaziri na viongozi wa chama chao wakifanya vitu vya ajabu kama kukata utepe kwenye 'uzinduzi wa mbegu za maharagwe'.They are obsessed with planting maize and beans.... very basic (lazy) agriculture that requires minimal input.
Tumeaminishiwa humu kuwa wamelipwa Tena Mwanzo wa mwaka huu.Acha kujibu kisiasa we jamaa wewe ndiyo ulio walipa?
Kwani Kenya wameanza leo biashara na Uingereza?
From your comment I know you do not know economics. Food is not given for free you have to buy, in order to buy you must work.Sasa mbona nyie wenyewe mnalia njaa.
Hii imekaaje?
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Kenya is the leading exporter of horticultural products in EU. Kwani huwa tunazitoa Tanzania? Na Kama tunazitoa Tanzania na kuziuza ulaya basi inaonyesha jinsi bongo zenu zimelala. Wacha chuki za kijinga.Tunafanya sana tu.
Kama unafahamu kutumia Google, Google "Tanzania Exports". Utajionea.
Kwa kukujuza tu, hata hayo matunda waliyosafirisha Kenya kupeleka UK usikute 100% yametoka Tanzania.
Ile kahawa ya Kasakazini yote mnainywa wenyewe?
a) You tried that already and Kenya refused. What happened? You had to export the unprocessed maize to Kenya. Kenya will never buy any processed maize from Tanzania. Your company Bakhresa was also unable to compete and they had to shutdown their Kenyan operations.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu hayapatikani kwenu?Uongo mtupu. Sisi tunapanda matunda na mboga kwa wingi tu.
Wewe ndo unatakiwa umjibu kwa facts kama unazo. Naona anawapiga penyewe.Acha ujinga,
Stories za vijiweni peleka Tanga,
Kuja Na FACTS only.
Tuindolee ushoga ππDah!! Kama Hayo matunda 100% wanasafirisha Kenya uingereza kama yametoka Tanzania kwamaana hiyo sisi ndiyo tunao export ulaya?
Kahawa tunasafirisha kimagendo Uganda ndiyo unayo taka kuniambia niende google nikatafute Tanzania Export?
Tanzania tunasumbuliwa na tatizo la elimu na upumbafu
Aliekuelewa ulichoandika anisaidieYakitoka Tanzania yakifika Kenya yanakuwa lebeled Product of Kenya.
Kitu cha pili watanzania tuna ubinafsi mkubwa sana; nitakupa mfano halisi hapa.
Kuna group moja la wakukima WhatsApp ambalo wanalima zao X, sasa ilitokea wakapata soko UK dada moja nawebzake kila walipokuwa wanapeleka bidhaa zinaishia kutupwa kwani hazikidhi vigezo. Kwa msaada wa serikali walifanikiwa mwisho wa siku.
Baada ya kufanikiwa wakaanza kuwafanya wenzao fursa ili wapate fidia hasara wakioipata wakati wa naanza kusaka soko. Mwisho wa siku wenye akili wakajitoa
God save us
Wewe ni ng'ombe tu.Nyinyi mna mnapenda mboga, Hilo siyo tatizo Kwa hakuna asiuependa.mboga. lakini tatizo hamna huko mboga zaidi ya sukuma wiki tu. Matunda mpaka mje kuyanunua Tanzania. Machungwa, mananasi, embe, ndizi mnanunuwa Tanzania. Tena afadhali watu wa pwani ya Kenya kidogo, Hilo Wana matunda matunda kiasi, pwani wana zile apple mangoes na viembe vingine kidogo na nazi kiasi. Ardhi yenyewe ya kulima pwani mnayo? Labda Wakikuyu wale wenye uhusiano na koo zilizoshika madaraka huko (ndiyo wenye pesa nje ya wazungu, Waarabu na wahindi) kidogo wamshheinunua na iliyobaki ya Salehe nguru.
we boya utasafirisha nini nje ya nchi ulichonacho? π π π Pumbu?Labla ningekuwa Mkenya ukianza kufuatilia process za kupata vibali vya serikali tayari umesha pata wazo lingine la biashara na mazao yako yamesha haribikia shambani,...