Kenya yatupwa nje michuano ya CHAN 2024 na Madagascar kwa Mikwaju ya Penati 3-4

Kenya yatupwa nje michuano ya CHAN 2024 na Madagascar kwa Mikwaju ya Penati 3-4

Kenya walituzomea sana kutana na morroc, madagasc hawajaniangusha !!
 
Nawasubiria vilaza apa wapasuke nifurahi kabisa!
20250819_211859.jpg
 
Kuna WAKE- ZANGU halafu kuna WAKE-NYA
 
Usiwe na mdomo ukiwa unajua uwezo wako ni wa kawaida, domo kuuuubwaaa.
 
Asanteni sana ndugu zetu Madagascar. Hawa jirani zetu wasio jua mpira walikuwa wanaongea sana..

RUTO MUST GO
 
Walizidisha mno matambo. Kamdomo kama mke wa balozi
 
Kenya hawana timu ni kamdomo tu! Mechi zote tano walikuwa wanafunga goli moja moja kwa kila mechi halafu urarajie kwenye hatua za mtoano utoboe? Kwa kifupi wamevuna walichopanda
 
Back
Top Bottom