Kenya yaziangukia nchi za afrika kumnusuru Kenyatta

Kenya yaziangukia nchi za afrika kumnusuru Kenyatta

Afrika imeghafirika...ao marekani kwani ni member wa ICC?mbona wanashobo?basi wampeleke g.bush kwanza the hague..!
 
Sema Marekani wajanja sana kama Bush kaua sana kule Iraq na Afghastan na ICC hawana njia ya kumfanya maana nchi yao sio member wa hiyo mahakama.
 
Wakenya hawajui kusoma alama za nyakati. Katika nchi zote za Africa nchi pekee inayoweza kumtetea na kumsaidia Uhuru Kenyata ni Tanzania. Hii ni kwa sababu kwa sasa Tanzania ikisema kwa Afrika inasikilizwa na yeyote. Rais Kenyata alitakiwa awe karibu sana na Rais Kikwete wakati huu kuliko wakati mwingine wowote ili mambo yake yaende sawa. Inavyoonekana yeye hafanyi hilo. Labda hajui madhara yake!
 
Kikubwa hapo ni kwa viongozi kuanza kujifikiria kwanza kwann mahakama hyo kesi zake nyingi ni za viongozi kutoka Africa kwani wao hawatendi mabaya????
 
Back
Top Bottom