Wakenya hawajui kusoma alama za nyakati. Katika nchi zote za Africa nchi pekee inayoweza kumtetea na kumsaidia Uhuru Kenyata ni Tanzania. Hii ni kwa sababu kwa sasa Tanzania ikisema kwa Afrika inasikilizwa na yeyote. Rais Kenyata alitakiwa awe karibu sana na Rais Kikwete wakati huu kuliko wakati mwingine wowote ili mambo yake yaende sawa. Inavyoonekana yeye hafanyi hilo. Labda hajui madhara yake!