Ndekrepha
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 1,506
- 2,660
My Friend hujui siasa za Tanzania. Unachotakiwa ni kukaa kimya ujifunze.
Huenda umri wako ni mdogo. Sidhani kama unafikisha umri wa miaka 30.
Uchaguzi ulikuwa wa moto ni mwaka 1995 mpinzani akiwa Mrema, na Mwaka 2015 Mpinzani akiwa Lowassa.
Jifunze na uzijue siasa za Tanzania. Wewe subiri utaona. Leo CHADEMA wameanza kampeni. Kesho CCM.
So uwe mvumilivu tu maana kampeni ni miezi 3.
Nadhani kwa kipindi hiki utajifunza mengi maana umeshakuwa mtu mzima.
Mchane huyo dogo, mwambie kwa siasa za kisayansi na mikakati ya bongo ni hapo kwao tu hatujatia timu, ila 2022 tutafanya maajabu kwa kuweka mtu wetu..kama tulivyofanya sehemu nyingine zinazotuzunguka.