Kenya yazidi kupaa "Ease of doing business", hamjakoma bado

My Friend hujui siasa za Tanzania. Unachotakiwa ni kukaa kimya ujifunze.
Huenda umri wako ni mdogo. Sidhani kama unafikisha umri wa miaka 30.

Uchaguzi ulikuwa wa moto ni mwaka 1995 mpinzani akiwa Mrema, na Mwaka 2015 Mpinzani akiwa Lowassa.

Jifunze na uzijue siasa za Tanzania. Wewe subiri utaona. Leo CHADEMA wameanza kampeni. Kesho CCM.
So uwe mvumilivu tu maana kampeni ni miezi 3.

Nadhani kwa kipindi hiki utajifunza mengi maana umeshakuwa mtu mzima.

Mchane huyo dogo, mwambie kwa siasa za kisayansi na mikakati ya bongo ni hapo kwao tu hatujatia timu, ila 2022 tutafanya maajabu kwa kuweka mtu wetu..kama tulivyofanya sehemu nyingine zinazotuzunguka.
 
My Friend hujui siasa za Tanzania. Unachotakiwa ni kukaa kimya ujifunze.
Huenda umri wako ni mdogo. Sidhani kama unafikisha umri wa miaka 30.

Uchaguzi ulikuwa wa moto ni mwaka 1995 mpinzani akiwa Mrema, na Mwaka 2015 Mpinzani akiwa Lowassa.

Jifunze na uzijue siasa za Tanzania. Wewe subiri utaona. Leo CHADEMA wameanza kampeni. Kesho CCM.
So uwe mvumilivu tu maana kampeni ni miezi 3.

Nadhani kwa kipindi hiki utajifunza mengi maana umeshakuwa mtu mzima.

Huyo Lowassa si niliskia alikua kwenye mission, na karudi "home"
 
That is your problem. Unasikia, sijui unasikia wapi.

Siasa za Tanzania huwezi kuzielewa. Wewe chill down ujifunze mengi.
 
Akina nani hao sijui eti Lipumba??? Sema mtapata ushindani mkali sana kwa mwanasheria, jamaa ana ujasiri kinyama, licha ya kumuondoa kwa marisasi bado kageuza, na isitoshe katupia mapingamizi ambayo mliyapiga chini bila kuipangua kisheria.
Halafu ameomba mdahalo japo najua hamuwezi kuthubutu maana jamaa yuko balaa sana.....amehamasisha muamko mpya kwenye mlengo upinzani lakini mlivyo, mnawaengua wagombeaji majimboni na wagombeaji wenu kupita bila ushindani.
Inatia moyo kuona Afrika bado kuna majasiri kama huyo jamaa, akina Mandela wa leo, ipo siku tutaaga siasa mbovu na umaskini.
Hehee, we jamaa bhana, utapata tabu sana, mwanasheria ni mwepesi mnoo, angalia mkutano wao Leo mbagala, compare na 2015 mbagala, Enzi za lowasa. Utaelewa kitu nakwambia.
 
Kwa namna mlikua mnaendesha siasa yaani upinzani ulikua kama umezikwa vile, ilikua nusra wasahaulike, ila naona ghafla wameamka upya, mna kazi kwa mwanasheria.
 
Hakuna kazi, hapo ni mteremko wa mlima kitonga
 
Duh ila kw hilo la Mbowe kufukuza TBC kuna kasoro hapo, upinzani kwenu hawajajipanga na watachelewa sana wakianza ugomvi na wanahabari. Wasiige ubabe wa CCM dhidi ya vyombo vya habari maana wale ndio wenye dola wana uwezo wowote, ila kwa upinzani wanahitaji sana sympathy ya media.
Kwa hilo tukio walijifunga bao la kwanza wakati wanafungua dimba.
 
mimi binafsi sikujua jamaa amefikiria nini!!

labda ni sehemu ya mikakati katika kutafuta sababu ya kuhalarisha kushindwa uchaguzi.
 
Duh ila kw hilo la Mbowe kufukuza TBC kuna kasoro hapo, upinzani kwenu hawajajipanga na watachelewa sana wakianza ugomvi na wanahabari. Wasiige ubabe wa CCM dhidi ya vyombo vya habari maana wale ndio wenye dola wana uwezo wowote, ila kwa upinzani wanahitaji sana sympathy ya media.
Kwa hilo tukio walijifunga bao la kwanza wakati wanafungua dimba.
Uliona eh, ni kosa la kimkakati walilifanya jana, na ni baada Ya tbc kuchukua aerial pctr ya umati kutokea juu, which depicted their scarce supporters ukicompare na 2015.
Hivi kwa kazi alofanya magu inayoonekana, ni ngumu kushawishi uma eti waachane nae.
 
Dah ila Rwanda wale watu wanajituma, wana rais asiye mzembe, bado wanaongoza kwenye hili, ndio tatizo haupewi vyote aidha upewe ubongo na kunyimwa raslimali au upewe raslimali unyimwe ubongo.

Hata hivyo Kenya inazidi kuchana mbuga tena kwa kasi ya ajabu, majirani zetu wengine tumewapiga double double, majirani mnatuchelewesha sana kwa mlivyo wazembe sijui mfanywe nini muamke, maana binadamu akizungukwa na wazembe hata yeye hujikuta akizembea maana lazima awaburuze au wamburuze.

Rwanda 76.5
Kenya 73.2
Uganda 60
Tanzania 54
Burundi 46.8
Sudan Kusini 34.6

https://www.doingbusiness.org/content/dam/doingBusiness/media/Profiles/Regional/DB2020/SSA.pdf
Aisee kumbe hii kitu iko manipulated!

World Bank wamefreeze hii report mpaka hapo watakapofanya marekebisho.

The dataset was cooked by the usual crooks🙂
 
Back
Top Bottom