Kenya Yazidi Kuwekeza Tanzania...nani anafaidi?

Kenya Yazidi Kuwekeza Tanzania...nani anafaidi?

But by another indicator by Geary - Khamis in international dollar (ina maana yake) inaonyesha kuwa kwa kipimo cha mwaka 2007. Tanzania ni 84% ya uchumi wa Kenya. This one is realistic since it combimes both PPP and prices of commodities. Kenya ni 11 kwa Africa na sisi ni wa 12, tena tunafuatana. ni 76 duniani na sisi wa 82..wao wana 57,700 na sisi 48,900 kwenye dola ya kimataifa. We can do it! sasa tusijidharau, if mr kantai can tie a tie, why can't i tie a tie?......
 
Ikom clear wakenya wanafaidi sana,kuna kitu wachumi wanaita repatriation income(wakivuna pesa hapa kwetu wanazikimbiza kwao) wenzetu wanafaidi sana kwa kuneemeka na ajira hapa tanzania,kama ujuavyo kuna ugumu sana kwa mtanzania kufanya kazi kenya hali kadhalika kuna ugumu sana kwa mtanzania kufanya kazi kwenye mashirika ya kenya yaliyopo hapa tz.Watz wengine wanaajiriwa na kukaa muda kidogo tu kwenye haya makampuni mwishowe wanafukuzwa kwa kuambiwa Tanzanians have low work efficiency.Mpaka sasa Kenya ni nchi inayoongoza kwa uwekezaji tz....

Kusema ukweli, do you really know the amount of bureaucracy that exists for a Kenyan to get a business permit in Bongo? I have gone through it and I can bet you, its pure hell. I wonder why, while its so easy for a Tanzanian to get a business license in Kenya without much hustle. The only problem is that you guys dont want to invest alot outside your borders, you always want to be safe within the confines of your border, and when a foreigner (read Kenyan) comes and invests, you start saying that masoko yenyu yanaingiliwa.
 
But by another indicator by Geary - Khamis in international dollar (ina maana yake) inaonyesha kuwa kwa kipimo cha mwaka 2007. Tanzania ni 84% ya uchumi wa Kenya. This one is realistic since it combimes both PPP and prices of commodities. Kenya ni 11 kwa Africa na sisi ni wa 12, tena tunafuatana. ni 76 duniani na sisi wa 82..wao wana 57,700 na sisi 48,900 kwenye dola ya kimataifa. We can do it! sasa tusijidharau, if mr kantai can tie a tie, why can't i tie a tie?......

Kaka naona umeamua sasa kuja na stats zote, hatujaachana mbali, that should be the main factor that unites us, not separating us.
Q: If you join the SADC will you not be a dumping ground for most SA nations?
as in just compare your economies with most of theirs, will your industries manage to produce cheaper goods and services to compete in their competitive market (kama hii ya EA inawalemea)?

Lets tell each other the truth, we cant disguise the fact that we need each other, your contribution to SADC will be minimal compared to the EAC, businesss ni competition, hamna kuoneana huruma.
 
Smatta,

..you forget that in Kenya businessmen operate in TRIBAL CLIQUES. Watanzania wanataabika sana wakipeleka biashara zao Kenya. unaweza ukakubaliana bei na mfanya biashara wa Kenya na ukifika anabadili maneno. ukienda kwa mwingine unakuta ni kumbe wana genge lao la kikabila, basi unaishia kukwama na ku-accumulate hasara. hapo bado hujaongeza askari wakatili wa Kenya.

..kwa kweli mimi na-encourage Tanzania tufungue masoko karibu na mipaka na Kenya. kama Wakenya need anything from us then bora wakifuate Tanzania kuliko kwenda kupambana na TRIBALISM huko kwao.

NB:

..katika nchi za SADC tunapakana na Democratic Republic of Congo, Mozambique, Zambia, na Malawi. Watanzania wa maeneo ya mipakani na nchi hizo lazima waangalie opportunities huko.

..one of our geographical advantage ni kwamba tunapakana na hizi nchi nyingi na we should look for opportunities all around us not just within EAC.
 
Smatta,

..you forget that in Kenya businessmen operate in TRIBAL CLIQUES. Watanzania wanataabika sana wakipeleka biashara zao Kenya. unaweza ukakubaliana bei na mfanya biashara wa Kenya na ukifika anabadili maneno. ukienda kwa mwingine unakuta ni kumbe wana genge lao la kikabila, basi unaishia kukwama na ku-accumulate hasara. hapo bado hujaongeza askari wakatili wa Kenya.

Haziitwi tribal cliques, those are Business cartells, though most are illegal, ukipata cartel nzuri, unakuwa tajiri wakutuoa within no time.
Jaribu ujenge kamoja hapo Dar, uone vile mambo yatakunyookea, mpaka utwacha kutuona kama maadui.

wacha ni wahi nyumbani aisee, ftari yaningoja.
 
Tangu lini watu wakiwekeza Tz inakuwa kwa manufaa ya wa TZ? Watakaofaidi na kunufaika ni hao wekenya. Binafsi nazipokea hizi habari kwa masikitiko sana. Yaani tunashindwa nini na hao ndugu zetu mpaka wawe wanawekeza hivyo hapa kwetu?
 
Wanawekeza Tanzania kwa sababu kwao awana maali pa kuwekeza wamewapa wamewekeza nchi nzima ndio maana wanakuja kuwekexa Tanzania du !!!
 
Tangu lini watu wakiwekeza Tz inakuwa kwa manufaa ya wa TZ? Watakaofaidi na kunufaika ni hao wekenya. Binafsi nazipokea hizi habari kwa masikitiko sana. Yaani tunashindwa nini na hao ndugu zetu mpaka wawe wanawekeza hivyo hapa kwetu?

Surely, this is supporting mediocrisy
 
can someone break down those Kenyan owned companies that have invested in Tanzania?
 
Back
Top Bottom