The Quonquerer
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 777
- 111
Ikom clear wakenya wanafaidi sana,kuna kitu wachumi wanaita repatriation income(wakivuna pesa hapa kwetu wanazikimbiza kwao) wenzetu wanafaidi sana kwa kuneemeka na ajira hapa tanzania,kama ujuavyo kuna ugumu sana kwa mtanzania kufanya kazi kenya hali kadhalika kuna ugumu sana kwa mtanzania kufanya kazi kwenye mashirika ya kenya yaliyopo hapa tz.Watz wengine wanaajiriwa na kukaa muda kidogo tu kwenye haya makampuni mwishowe wanafukuzwa kwa kuambiwa Tanzanians have low work efficiency.Mpaka sasa Kenya ni nchi inayoongoza kwa uwekezaji tz....
But by another indicator by Geary - Khamis in international dollar (ina maana yake) inaonyesha kuwa kwa kipimo cha mwaka 2007. Tanzania ni 84% ya uchumi wa Kenya. This one is realistic since it combimes both PPP and prices of commodities. Kenya ni 11 kwa Africa na sisi ni wa 12, tena tunafuatana. ni 76 duniani na sisi wa 82..wao wana 57,700 na sisi 48,900 kwenye dola ya kimataifa. We can do it! sasa tusijidharau, if mr kantai can tie a tie, why can't i tie a tie?......
Smatta,
..you forget that in Kenya businessmen operate in TRIBAL CLIQUES. Watanzania wanataabika sana wakipeleka biashara zao Kenya. unaweza ukakubaliana bei na mfanya biashara wa Kenya na ukifika anabadili maneno. ukienda kwa mwingine unakuta ni kumbe wana genge lao la kikabila, basi unaishia kukwama na ku-accumulate hasara. hapo bado hujaongeza askari wakatili wa Kenya.
Tangu lini watu wakiwekeza Tz inakuwa kwa manufaa ya wa TZ? Watakaofaidi na kunufaika ni hao wekenya. Binafsi nazipokea hizi habari kwa masikitiko sana. Yaani tunashindwa nini na hao ndugu zetu mpaka wawe wanawekeza hivyo hapa kwetu?