Kenya yazuia Unga wa ngano na Gas ya kupikia toka Tanzania

Mnalazimisha tukubali ngano yenu ya bure?Ntarudia tena,hatutakii chakula cha bure!hehe!Simwape wasudi kule Juba?


Kwanza we have done them a favor.....

http://m.ippmedia.com/en/news/study-most-tanzanian-population-faces-real-hunger

Tanzania: Magufuli Won't Give Food, 'Even to Those Facing Hunger'

They should be using that food to feed their people instead of forcing us to buy it. We wanted their maize, they refused to sell it to us, instead offering us wheat, as if we dont have that.
 
t
tusipotoshe umma ,magufuli hajaingilia mambo yao ya ndani km kenye,urafiki wao na yule jamaa ni wa muda na alimtembelea akiwa hana nyadhifa nzito ccm,mbona mamvi kasema yy anaunga mkono kenyatta je kuna bifu?wao ndo wanapenda kukomenti mambo yetu.
lakini ndo vizuri kwn biashara lazima tufanye na kenya?
pia tunapoteza muda,tungevunja tu mahusiano nao
 
Yaani ukishataja Maalim Seif unazidi kunivuruga.
 
But isn't it high time that we in the EAC have a single market controlled for the most part by the forces of demand and supply?
 
Binadamu ametofautishwa na wanyama wengine kwa kigezo cha IQ na ustaarabu, ukiondoa hayo binadamu kwa sehemu kubwa anakua ni mnyama.

Kama kweli nchi hizi mbili (Tz na Kenya) zimepakana hapa hapa EA na hata baadhi ya watu wake wamefanya inter-marriage lakini nchi hizi zinashindwa kuelewana kwa mambo ya kisiasa ambayo kimsingi hayana tija sana ukilinganisha na maisha ya kila siku ya watu wao, sisi waafrika tuna tabu sana kuanzia IQ mpaka ustaarabu.

Leo sisi majirani hatuelewani kesho tunanunua bidhaa ya mzungu wa ulaya, hivi kipi bora kati ya kumsaidi jirani yako kuinuka au kumsaidia mtu wa mbali?

Hii ngozi ya kiafrika ni tatizo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…