Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Level gani.Acha kulia lia, jililieni nyie wakenya na watoto wenu Tz is in other level. Utaelewa tu wewe tulia.
Hawa huwa najichekea tuKatika hali ya kushangaza Serikali ya Kenya imezuia unga wa ngano na gas ya kupikia kutoka Tz.
Hata hivyo Serikali ya Tanzania imetoa taarifa na kueleza itakishughulikia na ikizingatiwa Kenya imevunja makubaliano ya EAC.
MICHUZI BLOG: Taarifa Kuhusu zuio la kuingiza gesi asilia na unga wa ngano nchini Kenya
Kenya imeanza kulia lia kama mtoto na kuvunja makubaliano ya EAC. Naona wivu mkali ukionekana waziwazi kutoka kwa ndugu zetu wakenya. Chuki dhidi ya Tanzania kutoka kwa wakenya inakomaa siku baada ya siku. Hii ni kutokana na Tanzania kutangaza kuingia ktk mpango wa viwanda. Vita ni vita mura. Subirini na sisi tutawajibu.
Hahaha du!Huwez kulinganisha soko la watu wengi kama Kenya na kanchi kama Rwanda ambako ukipiga filimbi tu wananchi wote wanasikia na kukusanyika
Unachekesha weweUnapo ingilia masuala ya siasa nchi nyengine ndo matokeo yake haya.
Ni wazi mkuu anamsaidia rafikiye raila kushinda urais , matokeo yake ni haya.
Tusilaumu lakini tujiulize jee kenya na uhuru wangeweka msimamo uchaguzi wetu 2015 hasa kule znz na kumtambua Seif kuwa mshindi halali ingekuwaje ?
Tuna sababu za kuzuia bidhaa ZOTE za Kenya kutokuingia Tanzania hii ni hatua ya mwanzo kabisa hatua ya pili ni kuwatimua raia WOTE wa Kenya hata wale wanaofanya kazi makao makuu ya EA Jijini Arusha bila kumsahau Balozi wao aliyeko Jijini Dar.
Hatua ya Mwisho ni kufunga mipaka yote na Kenya na kuamrisha Ndege zao ZOTE kutokuruka anga la Tanzania.
Natumaina Rais Magufuli atazingatia ushauri wangu bila kuchelewa.
Hatutaki shobo za kijinga.Even you, Bavaria?
Una uhakika na hizi tuhuma ulizoweka hapa?Unapo ingilia masuala ya siasa nchi nyengine ndo matokeo yake haya.
Ni wazi mkuu anamsaidia rafikiye raila kushinda urais , matokeo yake ni haya.
Tusilaumu lakini tujiulize jee kenya na uhuru wangeweka msimamo uchaguzi wetu 2015 hasa kule znz na kumtambua Seif kuwa mshindi halali ingekuwaje ?
Rwanda ina mahitaji madogo sana ,soko ni dogo sio la kulingiaKwani lazima tupeleke Rwanda kuna rafiki etu wa kweli
WordTz na Ke ndio washindani halisi EAC, hapo kia mmoja anatafuta namna ya kuweka mambo yake sawa.
Kenya na Tanzania wanahitajiana sana kuliko nchi nyingine EA
Okay.....Hatutaki shobo za kijinga.
Jino kwa jino.
Ningekuwa Magufuli, ningepiga permanent ban ya KQ kukanyaga Tanzania.
Atleast utawala wangu upite.
Hatutaki shobo za kijinga.
Jino kwa jino.
Ningekuwa Magufuli, ningepiga permanent ban ya KQ kukanyaga Tanzania.
Atleast utawala wangu upite.
2045 mbali sana, trust me.Okay.....
Hakuna cha maana mtakayotimiza kwa mihemko. Hii sio njia bora ya kutupiku kibiashara.
Fanyeni yenyu, lakini Kenya always have different and employs effectively options to remain ahead.
Guess what, you will not overtake Kenya anytime soon, probably not till 2045. And definately not in this manner.
Hahahahahaha!! Jamaa wewe unadhani issue ni static siyo. Subiri utaonaOkay.....