Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Even you, Bavaria?Nashangaa huyu jamaa kwanini yupo kimya hadi leo.
Ilitakiwa kuwe na permanent ban ya shughuli za Kenya huku Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Even you, Bavaria?Nashangaa huyu jamaa kwanini yupo kimya hadi leo.
Ilitakiwa kuwe na permanent ban ya shughuli za Kenya huku Tanzania.
ati duh! 95% ??????Ukienda sokoni products asilimia 95% zilizo supermarket za Bongo zinatoka kenya
kwanini na sisi tusipige chini importation za bidhaa zao tukakomaa na products zetu na kuziimalisha
hawa jamaa wako serious na vita ya kiuchumi sisi naona tunacheka cheka
kwani na wao wanachimba huko kwao? kama hawachimbi itawabidi tu kununua hawana namna
At least there is one I really like frm Tz in our storr, and that has to be the Azam Energy Drink.ati duh! 95% ??????
am yet to come accross a Tanzanian product in our supermarkets. i only see Azam juice being hawked in the streets.
Hujui jata soko la Tz unajishebedua tu. Uchumi walikimbia nakumati wanauza share zao kwa wa tz. Inakufa kwa kasi. Business za Tanzania dominated by Chinese, Turkish na bidhaa za chi za kiarabu. Kenya sasa minority goods tz. Ukienda TSN supermarket hakuna bidhaa ya kenyaAt least there is one I really like frm Tz in our storr, and that has to be the Azam Energy Drink.
Lakini hawa ni kelele tu usiwajali. We dominate their economy, and it will take them a veery long time to finally prise our firm grip on their economy.
Haya ni maoni yako, sote tuajua hili, na hata mtz mwenzako amekiri hili, most of the commodities found in your shops are from Kenya, hata pp.Hujui jata soko la Tz unajishebedua tu. Uchumi walikimbia nakumati wanauza share zao kwa wa tz. Inakufa kwa kasi. Business za Tanzania dominated by Chinese, Turkish na bidhaa za chi za kiarabu. Kenya sasa minority goods tz. Ukienda TSN supermarket hakuna bidhaa ya kenya
Okay hebu tuanze kwa kifupi tu. Taja bidhaa zinazotoka kenya kwenye market zinazochukua 40% soko la Tanzania. Hivi unajua nature ya watanzania kununua vitu!? Kariakoo imejaa vitu local na vingi toka china. Fanya investigation wewe siyo kuja kupiga kelele humu. Hiyo ilikuws zamani sasa hivi hakuna issue kama hizo. Nenda Tsn supermarket ukacheck bidhaa ngapi za kenya. Na wa tz sasa wanashift kununua vitu toka kwenye TSN supermarket na kwenye local shops.Haya ni maoni yako, sote tuajua hili, na hata mtz mwenzako amekiri hili, most of the commodities found in your shops are from Kenya, hata pp.
This was the situation hata kabla Nakumatt na Uchumi kuingia soko la Tz.
Unaposema sisi ni minority katika soko lenyu, hapo unapotosha sana. Investments reports zinaonyesha mambo mengine kabisa.
Usitutishe wewe. Sawa, kama wanafanya biashara kwa utapeli tuwaache bila kuchua leseni zao.Wambongo bhana.. Yani tanzania na kenya zinategemeana sana kwenye mambo ya kibiashara
Sasa kuanza kuishauri serikali ifungie biashara zote na kenya wakati kuna watanzania wengi wanategemea bandari ya mombasa kama mikoa ya kaskazini mitumba ya nguo mingi inatokea kenya na kenya kuna watz wengi wanafanya biashara
Serikali izi zikilipizana wanaoumia ni wafanya biashara wa pande zote mbili
Juzi tu apo wakenya wamechukuliwa leseni za kufanya biashara ya tanzanite ivi mnajua dhamani ya leseni ya madini alafu unanyanganywa bila sababu za msingi alafu kenya wamelipiza apo katikati kuna mgogoro unaokua kila siku ni vizuri viongozi wa pande zote mbili wakae chini tena waongee wakubaliane
Tz inapoelekea so pazuri ka mozambique wamefukuza watanzania wengi na kuwapora mali zao na chazo hadi saivi hakieleweki vizuri. Kwa namna iyo tutakosa majirani. Kama mnadhani urafiki wa tz na rwanda ni bora zaidi kuliko wa tz na kenya mmepotea
Urafiki wa kweli huo ulianza lini? Hivi kati ya Kenya na Rwanda ni nchi gani yenye uhusiano wa karibu na Tanzania?Kwani lazima tupeleke Rwanda kuna rafiki etu wa kweli
Hatuna undugu na wakenya unajua. Wanavyofanya wizi na uharamia kwa watanzania ndio tuwachekee chekee tu. Hapa lazima tuheshimiane sasa is too much.Kenya kama ndugu wa. Wa karibu Wa tz, hizo changamoto wakuu wakae pamoja na kusuluhisha
Hamna cha kukaa pamoja wala nini hapa ni kufungia kq ,kcb ,ma nakumat na maupuuzi mengineKenya kama ndugu wa. Wa karibu Wa tz, hizo changamoto wakuu wakae pamoja na kusuluhisha
Wewe hujui kitu kuhusiana na watz waliofukuzwa Mozambique mim nipo huku nacala mozambique. Waliofukuzwa montepuez mozambique walikua watz wote waliojulikana haijalishi una vibali au la na wakaporwa mali zao waliokua na vibali walivorudi tz wakafungua kesi adi saiv walioruhusiwa kurudi kihalali ni wa tatu tu kati ya mamia wenye vibali na kama ulikua hujui mbongo kupata kibali cha kazi saiv mozambique ni process ndefu na inagharimu kwa ufupi ni wachache mno watakaoweza kuafford kuvipata na kwa sheria ngumu. Tatizo ni serikali ya tanzania kujiona wababe na kushindwa kuwatetea raia wake wanaokaa njee ya nchi. Mbona kipindi cha jk haya mambo hayakuepo. tumekua tukifanya biashara ivo kama ndugu kwa mda mrefu kama majirani na sasa ivi mozambique government wanapita uko nampula wakikuta mtz huna vibali utakoma na kuna raia wa nchi nyingi tu lakin why wabongo kuna tatizo kati ya serikali ya tz na majirani zetuUsitutishe wewe. Sawa, kama wanafanya biashara kwa utapeli tuwaache bila kuchua leseni zao.
Huo ni uoga kabisa.
Halafu waliofukuzwa Mozambique ni illegal migrants walikimbilia kule baada ya kuanza issue zao huko mtwara eti gas isichimbwe.
Hao walikuwa wasaliti wa nchi yetu wakakimbilia nchi ya Mozambique, tena usiete issue za hawa wakenya wezi na matapeli wa kutupwa. Lazima twende sawa. Tanzania ya leo siyo ya jana ya kusema Mungu atalipa hapa ni jino kwa jino, ni umafia kwenda mbele.
Issue ya Mozambique inahusiana nini na hii thread!? Mbona unajichanganya changanya!? Kila nchi ipo na sheria zake fuata utaratibu wa nchi za watu.Wewe hujui kitu kuhusiana na watz waliofukuzwa Mozambique mim nipo huku nacala mozambique. Waliofukuzwa montepuez mozambique walikua watz wote waliojulikana haijalishi una vibali au la na wakaporwa mali zao waliokua na vibali walivorudi tz wakafungua kesi adi saiv walioruhusiwa kurudi kihalali ni wa tatu tu kati ya mamia wenye vibali na kama ulikua hujui mbongo kupata kibali cha kazi saiv mozambique ni process ndefu na inagharimu kwa ufupi ni wachache mno watakaoweza kuafford kuvipata na kwa sheria ngumu. Tatizo ni serikali ya tanzania kujiona wababe na kushindwa kuwatetea raia wake wanaokaa njee ya nchi. Mbona kipindi cha jk haya mambo hayakuepo. tumekua tukifanya biashara ivo kama ndugu kwa mda mrefu kama majirani na sasa ivi mozambique government wanapita uko nampula wakikuta mtz huna vibali utakoma na kuna raia wa nchi nyingi tu lakin why wabongo kuna tatizo kati ya serikali ya tz na majirani zetu
Kupata kibali mfanya biashara mdogo utatumia si chini ya tz shlng million 5 kwa miaka miwili apo bado kufalitia icho kibali itakugharimu ka 10m. Apo kwa mfanya niashara mdogo. Wabongo saiv wanaishi ka panya wakikwepa polisi wengine wanafunga biashara na kurudi nyumbani tu. Hata wale wenye vibali vya zamani havina maana inabidi watafute vibali vipya
sasa kama wewe unafurahia unaona sifa kweli wakati wenzio wanaumia huna tofauti na mchawi