Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajaribiwa na nani? yeye amejaribu wangapiNaona kuna mtu anamjaribu JPM just let us wait and see!
Rwanda ina watu wangapi?Kwani lazima tupeleke Rwanda kuna rafiki etu wa kweli
Yes, ndio tunahitaji kusikia wanachokataza na counterpart anakazia papo hapo huo ndio ushindani.
Nashangaa huyu jamaa kwanini yupo kimya hadi leo.Magufuli dhaifu kuna biashara nyingi ambazo tunaweza kuwabana makende Kenya bila kuwa na athari! Fungia KQ na mabenki yao kwanza halafu tuone..
asisahau na dairy products pia!Nashangaa huyu jamaa kwanini yupo kimya hadi leo.
Ilitakiwa kuwe na permanent ban ya shughuli za Kenya huku Tanzania.
Zaidi ya hapo aanze pia kuwatimulia mbali wakenya wote wabangaizaji waliojazana kule arusha!! WaNafanya kazi za kuziba pancha! Nipo tayari kutoa ushirikiano!!Magufuli dhaifu kuna biashara nyingi ambazo tunaweza kuwabana makende Kenya bila kuwa na athari! Fungia KQ na mabenki yao kwanza halafu tuone..
Serikali yenu inazuga tu sisi ndo tulizuia kwanza chakula kuja kwenu hivyo serikali yenu inawadanganyeni kuwa inauwezo wa kuzuia chakula kuingia Kenya kutoka tz wakati mnanjaa kishenzihuna habari kumbe...mlizuia kitambo mahindi na hatujalia.mnafanya biashara kwa majugu...lisheni nguruwe iyo ngano.alafu ngono tuka nayo kibao..nkishuka pale mombasa marikiti ni shawarma kwa sana,,mapochopocho uswalini lazima ujirambe vidole
Mkuu punguza munkari, tukiendekeza hayo EAC itakuwa shakani. Ni ukweli kuwa Wakenya sio wa kuwaamini na wanatishiwa sana nafasi yao na Tanzania lkn sisi ni Watanzabia, sifa yetu kuu ni utu.Tatizo ndugu husomi hata link ukipewa. Soma hiyo link inabarua toka kwa katibu mkuu wa viwanda na biashara. Hata hivyo mazungumzo yalishafanyika na wakenya wamekaidi. Sasa unategemea nini kifanyike!? Ndio maana walichoma magari ya mizigo kwenda uganda na waling'oa reli ya kwenda uganda eti uganda wasipate mizigo.
Ni wivu na chuki mbaya sana.
Mkuu wakenya toka ile jumuia ya kwanza walionesha ubinafsi wa kiwango cha kimakinikia asee
akili mufilisi kama hizi kwenye somo la uchumi hewaHuwez kulinganisha soko la watu wengi kama Kenya na kanchi kama Rwanda ambako ukipiga filimbi tu wananchi wote wanasikia na kukusanyika
Ukienda sokoni products asilimia 95% zilizo supermarket za Bongo zinatoka kenyaKatika hali ya kushangaza Serikali ya Kenya imezuia unga wa ngano na gas ya kupikia kutoka Tz.
Hata hivyo Serikali ya Tanzania imetoa taarifa na kueleza itakishughulikia na ikizingatiwa Kenya imevunja makubaliano ya EAC.
MICHUZI BLOG: Taarifa Kuhusu zuio la kuingiza gesi asilia na unga wa ngano nchini Kenya
Kenya imeanza kulia lia kama mtoto na kuvunja makubaliano ya EAC. Naona wivu mkali ukionekana waziwazi kutoka kwa ndugu zetu wakenya. Chuki dhidi ya Tanzania kutoka kwa wakenya inakomaa siku baada ya siku. Hii ni kutokana na Tanzania kutangaza kuingia ktk mpango wa viwanda. Vita ni vita mura. Subirini na sisi tutawajibu.