Kenya yazuia Unga wa ngano na Gas ya kupikia toka Tanzania

Kenya yazuia Unga wa ngano na Gas ya kupikia toka Tanzania

Nafikiri sababu tumezuia kuuza mazao nje ya nchi
 
siuwa mnasema mnatupatia chakula bure nyinyi...mbona mnalialia sasa.kaeni nahiyo ngano yenu uko tuwaone kama mtaifanyia nni
Wakenya na ngano wapi na wapi kwanza kupika mapishi ya kutumia ngano amjui hiyo serikali imezuia ngano ila na sisi tuta zuia mahindi siku mkipungukiwa mana mnapenda ugali
 
Unapo ingilia masuala ya siasa nchi nyengine ndo matokeo yake haya.
Ni wazi mkuu anamsaidia rafikiye raila kushinda urais , matokeo yake ni haya.
Tusilaumu lakini tujiulize jee kenya na uhuru wangeweka msimamo uchaguzi wetu 2015 hasa kule znz na kumtambua Seif kuwa mshindi halali ingekuwaje ?
Mbona unaanza kujiharishia mapema. Wewe subiri tuwajibu. Soma barua ya katibu mkuu wa viwanda na biashara. Hatuna cha kupoteza tukiamua kubana wakenya watajikojolea. Na sasa wameanza kuisoma namba.
 
siuwa mnasema mnatupatia chakula bure nyinyi...mbona mnalialia sasa.kaeni nahiyo ngano yenu uko tuwaone kama mtaifanyia nni
Consequently we are going to ban all goods from Kenya to enter into our country... Am sure with this, all of your factories are going to collapse...
 
Wakenya na ngano wapi na wapi kwanza kupika mapishi ya kutumia ngano amjui hiyo serikali imezuia ngano ila na sisi tuta zuia mahindi siku mkipungukiwa mana mnapenda ugali
huna habari kumbe...mlizuia kitambo mahindi na hatujalia.mnafanya biashara kwa majugu...lisheni nguruwe iyo ngano.alafu ngono tuka nayo kibao..nkishuka pale mombasa marikiti ni shawarma kwa sana,,mapochopocho uswalini lazima ujirambe vidole
 
mlize nani nyinyi ldc.....juzi mlifungia mahindi kuja kenya mbona hatukulia.mlifungia mahindi ndio mjue sisi nyangau,,tumewambia bakini na ngano pia.....heheheeee.pumba zenu
Soma taarifa vizuri. Ngano na Gas mlifungia since April na sasa ya mahindi ni ishara tu. Nyie mmevunja makubaliano sasa tutawajibu ipasavyo. Hii ni taarifa tu tumewapa.

Makubaliano mlitia sign wenyewe sasa mnavunja hayo makubaliano. Ni muda wa kuwapatia uhuru wakenya.
 
Sema sai watz wanajitutumua ila hadi pipi zilikuwa zinatoka K.
 
Mbona unaanza kujiharishia mapema. Wewe nyang'au subiri tuwajibu. Soma barua ya katibu mkuu wa viwanda na biashara. Hatuna cha kupoteza tukiamua kubana wakenya watajikojolea. Na sasa wameanza kuisoma namba.
Haya mambo hayataki matusi...kila mtu ana muhitaji mwenzake...tukilipa watalipa...sawa wao wanafanya biashara zao nyingi kwetu...ila na sisi hizo kidogo basi ndani yake ni mapato na ajira kubwa.
Kila mmoja atajikojolea...
Tutafute sababu za wao kukataza gas yetu kuingia....
Jee kama tatizo ni sisi ?
Kama namba sisi tunazi soma tayari tukivunja nao mahusiano ni muendelezo tu wa namba za kirumi.
Hii si mara ya kwanza mwaka 77 tulivunja kabisa uhusiano na kufunga mpaka na kenya....kilichotokea ni njia za panya kufata sabunu kenya
 
Soma taarifa vizuri. Ngano na Gas mlifungia since April na sasa ya mahindi ni ishara tu. Nyie mmevunja makubaliano sasa tutawajibu ipasavyo. Hii ni taarifa tu tumewapa.

Makubaliano mlitia sign wenyewe sasa mnavunja hayo makubaliano. Ni muda wa kuwapatia uhuru wakenya.
hahaa....mahindi yanapandwa dunia nzima.as long as tunapesa tunanunua kwa raha zetu.yawekeni kwenye magala yaoze alafu kumbe nitaarifa ya zamani ata sikushughulika kuisoma
 
Unapo ingilia masuala ya siasa nchi nyengine ndo matokeo yake haya.
Ni wazi mkuu anamsaidia rafikiye raila kushinda urais , matokeo yake ni haya.
Tusilaumu lakini tujiulize jee kenya na uhuru wangeweka msimamo uchaguzi wetu 2015 hasa kule znz na kumtambua Seif kuwa mshindi halali ingekuwaje ?
Usiropoke kijana kwa sababu ya siasa kukifanya kichwa chako kisiwe na fikra kama msomi, urafiki wa Jpm na odinga una miaka zaidi ya 15,sasa iweje leo useme magu kumsaidia odinga kivipi? Umewahi kumsikia Jpm akiongelea uchaguzi wa Kenya hata mara moja? Kutompenda Jpm kusikufanye umulishe maneno yaliyokuwepo, Wakenya wana mambo ya wivu wa kike miaka yote tunawajua fuatilia mambo yao utajua kuhusu tz utajua badala ya kuropoka hovyo.
 
Unajua ndugu yangu tatizo vijana wengi hawajui jambo gani waongee wapi. Mimi nikiona vijana kama hawa najua ni tatizo la ki malezi. Nadhani kwa sasa hivi vijana wengi wanaenda Jkt baada ya miaka miwili tutakuwa na vijana mtaani wanaojielewa.
 
Katika hali ya kushangaza Serikali ya Kenya imezuia unga wa ngano na gas ya kupikia kutoka Tz.

Hata hivyo Serikali ya Tanzania imetoa taarifa na kueleza itakishughulikia na ikizingatiwa Kenya imevunja makubaliano ya EAC.
MICHUZI BLOG: Taarifa Kuhusu zuio la kuingiza gesi asilia na unga wa ngano nchini Kenya

Kenya imeanza kulia lia kama mtoto na kuvunja makubaliano ya EAC. Naona wivu mkali ukionekana waziwazi kutoka kwa ndugu zetu wakenya. Chuki dhidi ya Tanzania kutoka kwa wakenya inakomaa siku baada ya siku. Hii ni kutokana na Tanzania kutangaza kuingia ktk mpango wa viwanda. Vita ni vita mura. Subirini na sisi tutawajibu.
Naona umekuwa extreme, unacholalamika kuwa Kenya wanatuonea wivu na chuki na upande wako unayo hayo dhidi ya Kenya.

Hayo sio mambo ya kugombana, kidiplomasia huwa yanazungumzika, ikishindikana nasi tunaweza kuangalia upande wa kuwafinya.

Anyway, kama wanamaanisha kweli, wazuie ba mahindi kutoka Tanzania yasiingie Kenya.

Vv
 
Tatizo ndugu husomi hata link ukipewa. Soma hiyo link inabarua toka kwa katibu mkuu wa viwanda na biashara. Hata hivyo mazungumzo yalishafanyika na wakenya wamekaidi. Sasa unategemea nini kifanyike!? Ndio maana walichoma magari ya mizigo kwenda uganda na waling'oa reli ya kwenda uganda eti uganda wasipate mizigo.
Ni wivu na chuki mbaya sana.
 
Unapo ingilia masuala ya siasa nchi nyengine ndo matokeo yake haya.
Ni wazi mkuu anamsaidia rafikiye raila kushinda urais , matokeo yake ni haya.
Tusilaumu lakini tujiulize jee kenya na uhuru wangeweka msimamo uchaguzi wetu 2015 hasa kule znz na kumtambua Seif kuwa mshindi halali ingekuwaje ?
Una ushahidi kwamba ana msaidia rafiki ake au unaropoka tu uonekane umeropoka?
 
Mnang'ang'ana na soko la Kenya wakati soko la ndani limewashinda [emoji51][emoji51][emoji34]
 
Mnang'ang'ana na soko la Kenya wakati soko la ndani limewashinda [emoji51][emoji51][emoji34]
Wewe mkenya tulia. Siku hizi mnajiunga wengi kweli JF.
 
Tuna sababu za kuzuia bidhaa ZOTE za Kenya kutokuingia Tanzania hii ni hatua ya mwanzo kabisa hatua ya pili ni kuwatimua raia WOTE wa Kenya hata wale wanaofanya kazi makao makuu ya EA Jijini Arusha bila kumsahau Balozi wao aliyeko Jijini Dar.

Hatua ya Mwisho ni kufunga mipaka yote na Kenya na kuamrisha Ndege zao ZOTE kutokuruka anga la Tanzania.

Natumaina Rais Magufuli atazingatia ushauri wangu bila kuchelewa.
 
Back
Top Bottom