Kenya: Zifahamu jamii mbili zenye nguvu nchini Kenya

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,746
acha na nieleze kidogo uzoefu wangu kuhusu wajaluo na wakikuyu.

awali ya yote,kuna baadhi ya vijitabia vya wajaluo vinashabihiana kwa kiasi kikubwa sana na vijitabia vya jamaa fulani toka kabila moja maarufu kaskazini magharibi mwa tanzania kando kando mwa ziwa Victoria.

hakuna shaka kwamba wajaluo ni wasomi,wengi wamefanikiwa angalau kufika ngazi ya elimu ya chuo kikuu.

wajaluo ni watanashati sana,wanamajivuno sana,wanajisikia sana,wanapenda sifa sana.

ni kabila pekee nchini kenya ambalo watu wake hujisikia fahari sana kumudu kuzungumza kingereza hata kama kwa kuunda sentence mbili au tatu za lugha hiyo.

ni watu wanaopenda kuonyesha wanajua kila kitu.kwa mfano ukifika katikati ya nairobi, kuna vijiwe kabisa ambavyo wajaluo hukusanyika kuchambua siasa na masuala mbalimbali ya Kenya.

mkikuyu ni mfanyabiashara.
kielimu si msomi sana kama jaluo.ila ni wajasiriamali wakubwa sana.

karibia majumba yote ya kupangisha Nairobi ni ya wakikuyu.

matatu(daladala) za Nairobi karibia zote ni za wakikuyu.

maduka mkubwa ya bidhaa mbalimbali muhimu ni ya wakikuyu.

majumba ya starehe karibia yote katikati ya Nairobi ni ya wakikuyu.

tajiri namba moja mweusi nchini kenya,ni mkikuyu.

hawa watu ujasiriamali upo kwenye damu yao tangu kizazi kimoja mpaka kingine.ni watu ambao kwao ni kawaida kutoa uhai wa mtu ili tu awe tajiri.mkikuyu anatafuta utajiri kwa mbinu zozote,ziwe halali au haramu mradi tu atimize ndoto yake ya kuwa mtu mwenye mali nyingi.
 
Khaa najua kabila la Kaskazini Magharibi unaloliongelea ila suala la usomi ni nadharia tu..nilipokuwa chuo ratio ya Kikuyu, Luhya na Jaluo zilikuwa sawa tu.

Sasa mbona hujatoa ufananisho wa Wakikuyu Tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaha hilo la wakikuyu wa tanzania nimeliacha makusudi.litaibuka automatically hapa hapa kwenye mjadala.
 
Hehehe!! Unaogopa kutaja jamii ya Tanzania inayoshahibiana na Wajaluo wa Kenya kitabia
Wahaya wa Tanzania wanaendana na Wajaluo wa Kenya
Wachagga nao wapo kama Wakikuyu

Nimekaa na Wahaya Bongo, kuna mmoja muda wote alitaka tuongee Kingereza hata tukiwa maeneo ya hadhara wakati tunakula. Kila nikimuongelesha kwa Kiswahili ananijibu kwa Kingereza, ikabidi basi nibadilishe na kufuata anavyotaka. Jamaa alikua na tabia za 'impulse purchase' kila akipata hela, yaani ananunua vitu vya gharama bila kuvipangia mwanzo, kwamba hela zikimjia utaona ghafla hapo na hapo amewaza sofa set tena ghali sana.

Wachagga nao pia nimepiga deals nao sana, wale ilibidi nitumie Ukikuyu ulio ndani ya damu yangu ili kuendana nao, ni wajanja sana. Kwanza wamewekeza sana Nairobi.
 
Rekee ngwere morio, ithue agikuyu twendete mbeca ciitu ta caitaani!😀 Umesahau tabia yetu ya kuongea kikikuyu hata tukiwa wawili tu katikati ya watu kumi wasiofahamu lugha hiyo? Kama haijakuudhi utakuwa unapenda kikikuyu wewe! Hapo kwa kuuana kwa sababu ya pesa ndo sasa umetia ukakasi!
 
Hehehe!! Unaogopa kutaja jamii ya Tanzania inayoshahibiana na Wajaluo wa Kenya kitabia
Wahaya wa Tanzania wanaendana na Wajaluo wa Kenya
Wachagga nao wapo kama Wakikuyu

Nimekaa na Wahaya Bongo, kuna mmoja muda wote alitaka tuongee Kingereza hata tukiwa maeneo ya hadhara wakatu tunakula. Kila nikimuongelesha kwa Kiswahili ananijibu kwa Kingereza, ikabidi basi nibadilishe na kufuata anavyotaka. Jamaa alikua na tabia za 'impulse purchase' kila akipata hela, yaani ananunua vitu vya gharama bila kuvipangia mwanzo, kwamba hela zikimjia utaona ghafla hapo na hapo amewaza sofa set tena ghali sana.

Wachagga nao pia nimepiga deals nao sana, wale ilibidi nitumie Ukikuyu ulio ndani ya damu yangu ili kuendana nao, ni wajanja sana. Kwanza wamewekeza sana Nairobi.
ninachowapendea wahaya ni kitu kimoja tu.sio wachoyo.wanajua sana kum-treat mgeni.

hawataki ukiondoka uondoke na sifa mbaya kuhusu wao.yupo radhi azidishe hata matumizi ya fedha kuku-treat ili sifa yake ibaki pale pale.

wanapopata nafasi ya kusoma,hawaichezei,wanasoma kwa bidii sana.

atahakikishaana anamaliza masomo na kupata marks nzuri katika mitahani.
 
Rekee ngwere morio, ithue agikuyu nitwendete mbeca ciitu ta caitaani!😀 Umesahau tabia yetu ya kuongea kikikuyu hata tukiwa wawili tu katikati ya watu kumi wasiofahamu lugha hiyo? Kama haijakuudhi utakuwa unapenda kikikuyu wewe! Hapo kwa kuuana kwa sababu ya pesa ndo sasa umetia ukakasi!
Nilitaka kumkumbusha. .aroo nilishawaacha watu mezani na malipo ya chakula nilichoagiza kisa ya ung'eng'e nisioujua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rekee ngwere morio, ithue agikuyu nitwendete mbeca ciitu ta caitaani!😀 Umesahau tabia yetu ya kuongea kikikuyu hata tukiwa wawili tu katikati ya watu kumi wasiofahamu lugha hiyo? Kama haijakuudhi utakuwa unapenda kikikuyu wewe! Hapo kwa kuuana kwa sababu ya pesa ndo sasa umetia ukakasi!

buda fanya utafiti mdogo tu,nenda twitter fatilia tweet nyingi zinazohusiana na incidents za armed robbery ndani ya miji ya kenya.

utapata nyingi zikihusisha majina ya vijana toka jamii ya Kikuyu.

ukweli ni kwamba,ukiona mtu anakamatwa katika tukio la kihalifu,huku akiwa na siraha,fahamu alishajihami kufanya chochote katika kujitetea.
 
We acha lazima mkikuyu awe wanapokamatwa wezi au wahuni flani kwasababu wakikuyu ni wengi. Kwa kila wakenya wanne mmoja lazma awe mkikuyu kumbuka makabila ni 44 kenya!
 
Hehehe!! Unaogopa kutaja jamii ya Tanzania inayoshahibiana na Wajaluo wa Kenya kitabia
Wahaya wa Tanzania wanaendana na Wajaluo wa Kenya
Wachagga nao wapo kama Wakikuyu

Nimekaa na Wahaya Bongo, kuna mmoja muda wote alitaka tuongee Kingereza hata tukiwa maeneo ya hadhara wakati tunakula. Kila nikimuongelesha kwa Kiswahili ananijibu kwa Kingereza, ikabidi basi nibadilishe na kufuata anavyotaka. Jamaa alikua na tabia za 'impulse purchase' kila akipata hela, yaani ananunua vitu vya gharama bila kuvipangia mwanzo, kwamba hela zikimjia utaona ghafla hapo na hapo amewaza sofa set tena ghali sana.

Wachagga nao pia nimepiga deals nao sana, wale ilibidi nitumie Ukikuyu ulio ndani ya damu yangu ili kuendana nao, ni wajanja sana. Kwanza wamewekeza sana Nairobi.

Hujasema nani aliibuka mshindi kati yako na wachagga.
 
Ni kweli hayo makabila ni moto, lakini inabidi kupambanisha Wachagga, Wakikuyu, na Wahindi. Nadhani hiyo utakuwa mechi kali ya kununua gunia zima la popcorn.
Hehe! Usilete uchokozi bana baniani ni baniani tu. Huwezi kuwafananisha na hizo jamii mbili ulizotaja hapo juu!
 
Hapo kaskazini magharibi mwa tz ha ha haaaaaa
 
Hehehe!! Unaogopa kutaja jamii ya Tanzania inayoshahibiana na Wajaluo wa Kenya kitabia
Wahaya wa Tanzania wanaendana na Wajaluo wa Kenya
Wachagga nao wapo kama Wakikuyu

Nimekaa na Wahaya Bongo, kuna mmoja muda wote alitaka tuongee Kingereza hata tukiwa maeneo ya hadhara wakati tunakula. Kila nikimuongelesha kwa Kiswahili ananijibu kwa Kingereza, ikabidi basi nibadilishe na kufuata anavyotaka. Jamaa alikua na tabia za 'impulse purchase' kila akipata hela, yaani ananunua vitu vya gharama bila kuvipangia mwanzo, kwamba hela zikimjia utaona ghafla hapo na hapo amewaza sofa set tena ghali sana.

Wachagga nao pia nimepiga deals nao sana, wale ilibidi nitumie Ukikuyu ulio ndani ya damu yangu ili kuendana nao, ni wajanja sana. Kwanza wamewekeza sana Nairobi.
Teh teh! Ungekataa ku switch to English uswahiba ungeisha[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom