Kenya: Zifahamu jamii mbili zenye nguvu nchini Kenya

Eish ,mbona hawa jamii mbili kubwa zaidi Tz hawasikiki ama kuonekana? Quite the opposite na hawa jamii yetu waKikuyu wanaomiliki soft power na hard power .Ushawishi wanao mkubwa .
Hao walikuwa zamani tangu enzi za ukoloni ni miongoni mwa makabla ambayo ni hard working nadhani baada ya uhuru ni kama walififishwa..(na ndio maana mji wa Mwanza pamoja na kwamba upo pembezoni na muda mrefu ulikuwa haujaunganishwa na mikoa mingine kwa barabara ya lami lakini bado uliweza kujitosheleza kwa wananchi wake kufanya biashara na nchi kama Kenya na Uganda kwa muda mrefu angalau sasa hivi ndio wamefungua mahusiano na Dar kutokana na miundombinu kuboreshwa
 

= silaha
 

Tztizo huwa wengi wanakiuka miiko na hutokea kuja kufilisika kishenzi.
 

Mji wa Leicester nchini Uingereza ndiyo makao makuu ya wahindi wa Uganda.

Wahindi wameshika sehemu nyingi muhimu kila mahali.

Wahindi wapo uhamiaji, kwenye ofisi za manispaa, posta, na pia wameshika biashara kama taxis kwa mfano ukiwa miji kama Leicester, Reading, Leeds, Luton, Bradford au Birmingham huwezi kuendesha taxi kwa raha maana wao ndiyo wanaongoza katika zile taxi ranks.

Wakikuyu wanajitahidi lakini wapo nyuma ya waghana na wanigeria ambao ndiyo wengi wenye maduka.

Lakini wapo wenye vijikampuni vya hapa na pale ingawa hata mishahara wanapunja sana na ukiwa ni mwafrika ndiyo wanakunyenga kwelikweli.
 

Kweli mkuu, wahindi wameshika hiyo miji kama wenda wazimu. Uzuri ni kwamba hawajali wanaazia level gani, wao wanaweza kujiendeleza popote kama uyoga.
 
Wakenya ni wezi na wana sifa hiyo kimataifa.

Wanaoongoza kwa wizi na ujambazi huko Kenya ni kabila gani?
 
Kuzaliwa mchaga tu pekee ni form six

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But we have so many tribes that you can't ignore their contributions to the economy of Kenya,,,,,,,Somali ,Indians ,luhya ,kalenjini and kisii ,these are the communities that have made Kenya what it is today..
 
Wengine wanajiita sijui mafoxxy lakini wana sura ngumu kaa madoggy! Ni noma vindialala!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…