Kenyaforum: Who is your best conversationalist?.

Toyota escudo kwa kujazia tu,lawmaina ndio @MK254.alibadili ID
Aiseeeeeee, kumbe ndo maana kabadili ID maana hata tabia ilibadilika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hizi sifa nisingempa kwa ile ID ya lawmaina[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
kadoda 11, huyu Edward wanjala hata mimi nahisi ana unasaba na tz, hili jina lake la wanjala kwa asili ya kule kwetu walikuwa wanapewa watu wanaozaliwa wakati wa njaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sijui yeye ina maana gani

Off topic kidogo
 
Hahahaha....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kadoda 11, huyu Edward wanjala hata mimi nahisi ana unasaba na tz, hili jina lake la wanjala kwa asili ya kule kwetu walikuwa wanapewa watu wanaozaliwa wakati wa njaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sijui yeye ina maana gani

Off topic kidogo
Hahahaha! Daah! Wataita/Taveta huita Mwanjala au Wanjala tu hivyo hivyo, Wanyamwezi huwa nalo pia??
 
sisi kenya huwa pia na battalion kali ya mabango hao mimi huwaita frontline soldiers.Akina Depay na IanCruz yeyote mwenye beef na kenya na anarusha mabango hawa ndio hutuwakilisha.
 
Hahahaha! Daah! Wataita/Taveta huita Mwanjala au Wanjala tu hivyo hivyo, Wanyamwezi huwa nalo pia??
Una maana kabila la wanyamwezi? kama ni ndio Sina uhakika maana sio kabila langu na sikifaham kinyamwezi!

Lakini pia neno wanyamwezi/mnyamwezi huku tz lina maana nyingine[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sijui una maanisha nini haswa
 
ulinicomfort sana nilipoibiwa chupi zangu na wakenya

Ha ha ha wewe Miss Natafuta ni shida!!!

Yaani umenifanya nicheke kwa sauti mpaka watu wamenishangaa, kumbe ndo kisa cha kuacha kuvaa chupi, wakenya noma sana
 
Hahahaha! Daah! Wataita/Taveta huita Mwanjala au Wanjala tu hivyo hivyo, Wanyamwezi huwa nalo pia??
tanzania pia kuna baadhi ya koo hutumia jina la wanjala.

miaka ya mwanzoni na 2000, kuliwahi kuwa na msichana aliyeshiriki miss tanzania na kuwa katika tano bora.alikuwa anaitwa rashida wanjala.
 
Pole kwa mafua jirani!
 
kadoda 11, huyu Edward wanjala hata mimi nahisi ana unasaba na tz, hili jina lake la wanjala kwa asili ya kule kwetu walikuwa wanapewa watu wanaozaliwa wakati wa njaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sijui yeye ina maana gani

Off topic kidogo

Mzungu alipokuja na kuweka mipaka na kusema upande mmoja wajiite Wakenya na wengine Watanganyika, alikuta Waafrika wanaishi kivyao. Kuna baadhi ya makabila huko Tanzania yana undugu na makabila ya Kenya kama ilivyo Nyasa wa Malawi.
Kwa mfano mimi hapa mke wangu ametokea kwa kabila la Waluhya Kenya, kligha chao nakielewa fika, niliwakuta Wanyambo na Wahaya wanaongea lugha yao ambayo inaendana na Kiluhya kwa mambo mengi. Yaani mimi hunisenenyi kwa Kinyambo cha Tanzania. Siku moja nilikua naongea kwa simu kwa lugha ya Kiluhya na Wanyambo waliokua karibu walinishangaa sana maana walielewa kila kitu nilichokisema, japo maeno yanahitilafiana lakini sio sana.

Ukiangalia pia tabia na mila za Wahaya, Waluhya na makabila fulani Uganda wanaendana sana.

Hivyo sio ajabu kukuta majina yanatumika pande zote mbili, mimi nimemkuta Mtanzania wa Kipare anatumia jina linalofanana na langu na nikashangaa kujua kwamba sio yeye pekee. Yaani akiitwa naitika wa kwanza.
 
Unachokisema ni sahihi kabisa, ukizingatia wote ni wabantu na asili yetu ni moja!
 
Dah Dani5 umekuwa wapi?Uko vipi sisteh,naona tabia yangu ya kupitia jf kimya kimya ulishai'adopt' kabisaa.
 
Hongera ni kwako Kadoda11 ukija na nyuzi kama hizi za kupatanisha watu kila weekend, mbona nisichangie? Kula like yangu, kwa heshima jombaa. Hii nayo nimeipenda. Kura yangu sitajipigia, nampa MK254 huyu jamaa ameiwakilisha Kenya vilivyo, hapa jf. Big up to the guy.
 
Sympathetic? Mmh.....not so sure.

Lakini wewe nawe ulipoteleanga wapi?
 
Just saw this,funny dude,seriously?Meen this is not good.I always thought am ever serious when debating!I dont agree with your conclusion,I was not consulted!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…