Nimeshikwa na mafua kali, tokea asubuhi nimeketi kwa nyumba napitia forum na simu.. Anyway sahii angalau imepungua, From my view.. Mwanzi1 ako very persistent, ukianzana na yeye mtaenda mpaka uamue wacha yaishe, I salenda! Haha,
Kadoda11 has pia hua ako sensible .... Geza nashuku hua anashikwa na wazimu mara nyengine hahahaha, anyway, tunampatia kwa kuhakikisha yeye ni enemy number 1 kwa wakenya
Kwa upande wa kenya, MK254 ye ndo nanga ya wakenya, siku akipotea basi hapa patakua hapana raha tena, Sam999 , Iconoclas... What? Hilo jina ulipata wapi? Hua nashindwa kulitaja, lakini sikuhizi hua unapotea potea, lakini pia mimi sikuhizi siko full time...Wanjala pia anarepresent,, Nairobiwalker, Nivlark lakini yeye hua ni part time but ako sawa...
Alafu kuna wale vichwa maji wanajijua, uharo kila Mahali, jamaa anaeza anzisha mada na ajijibu mwenyewe ukurasa 10 kabla mtu wa pili aongezee