Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo pesa za mikopo ni pesa zinazotokana na uwekezaji Wa Kitanzania na watanzania ni circulating money za Tz na wala hazitokani na wakenya sasa wewe kuja kujisifia bank yako kufanya vizuri kutokana na watu waishio Tanzania wanaotegemea uchumi wa Tanzania nakushangaa kidogo .anyway hawawez kopesha wakenya ambao hawana asset au dhamana za kueleweka by the way nyie wez sanaLink unataka ya nini, kwani link ndio inakupa mkopo. Taarifa mbona zimetolewa na BOT kwamba benki za Kenya ndio zinaongoza Bongo katika kuwapa Watanzania mikopo. Nenda kapate mkopo wako na uache kiburi, wenzio wanafaidi wewe unabaki na umaskini kwa ajili ya kiburi, wivu na majungu.
Haya link hii hapa
Equity Bank dominates mortgage lending in Tanzania
Hizo pesa za mikopo ni pesa zinazotokana na uwekezaji Wa Kitanzania na watanzania ni circulating money za Tz na wala hazitokani na wakenya sasa wewe kuja kujisifia bank yako kufanya vizuri kutokana na watu waishio Tanzania wanaotegemea uchumi wa Tanzania nakushangaa kidogo .anyway hawawez kopesha wakenya ambao hawana asset au dhamana za kueleweka by the way nyie wez sana
Lakin asanten kwa kuja kuwekeza kwetu

Waambie ndugu zako waache masifa yasiyo wastahili kujisifia ilihali pesa hizo ni za watanzania wameweka kwenye izo bank kwan kuna pesa ya kikenya humoNimesema mara nyingi na narudia tena...Afadhali mwizi kuliko mla Albino.Wake up and smell the coffee you lazy hating Danganyikan.
Wanakuja Kukopesha watz kwa sababu tuna dhamana za kueleweka atleast 30% of tanzanian wanamiliki nyumba zao nzuri na almost 80% ya watz tuna ardhi ya kutosha kuombea mkopo sasa wewe ndugu yangu mkenya uombe mkopo kwa dhamana ipi mmejaa ujanja ujanja wa kofoji nyaraka na miaka ya mbele lazima ata KQ ije bongo kujenga HQ maake tutakua ndio kitovu cha uchumiWacha mbwembwe nenda kapokee mkopo, kwani benki zetu zikija kuwekeza huko zinategemea wateja wawe Wakenya? Tunawekeza kwa Watanzania ndani ya Tanzania kwa hela za Tanzania. Cha msingi ni mikakati yetu ambayo ni endelevu na yenye malengo ya mbali.
Hapo Bongo sisi Wakenya tunapigana vikumbo na Wahindi, Wachina na Wasouth hadi kieleweke. Kwa kilugha tunasema Omundu-khu-mundu, yaani mwendo pumua nipumue....
Hizo pesa za mikopo ni pesa zinazotokana na uwekezaji Wa Kitanzania na watanzania ni circulating money za Tz na wala hazitokani na wakenya sasa wewe kuja kujisifia bank yako kufanya vizuri kutokana na watu waishio Tanzania wanaotegemea uchumi wa Tanzania nakushangaa kidogo .anyway hawawez kopesha wakenya ambao hawana asset au dhamana za kueleweka by the way nyie wez sana
Lakin asanten kwa kuja kuwekeza kwetu
Think out of box kaka wameingia lini tz na Mikopo wameanza kuitoa lini mpaka kuwekwa kwenye 10 best utaona kua ni muda mrefu na kwa kipindi cha nyuma walikua hawawez kuprovide such a large number of loans but after kupata wateja wengi ambao mostly ni watanzania ndio sasa wameweza kukopesha kiasi icho cha pesa.sasa wewe uliebobea kwenye biashara huwez ata kuflash back ili ujudge hiyo argument yako wewe unabidi urudi shule kakayou are so illiterate in business matters. how do you start a bank without investing in core capital. how do you get the core capital before you start operations if it not by providing from your own sources!!!
Wanakuja Kukopesha watz kwa sababu tuna dhamana za kueleweka atleast 30% of tanzanian wanamiliki nyumba zao nzuri na almost 80% ya watz tuna ardhi ya kutosha kuombea mkopo sasa wewe ndugu yangu mkenya uombe mkopo kwa dhamana ipi mmejaa ujanja ujanja wa kofoji nyaraka na miaka ya mbele lazima ata KQ ije bongo kujenga HQ maake tutakua ndio kitovu cha uchumi
Think out of box kaka wameingia lini tz na Mikopo wameanza kuitoa lini mpaka kuwekwa kwenye 10 best utaona kua ni muda mrefu na kwa kipindi cha nyuma walikua hawawez kuprovide such a large number of loans but after kupata wateja wengi ambao mostly ni watanzania ndio sasa wameweza kukopesha kiasi icho cha pesa.sasa wewe uliebobea kwenye biashara huwez ata kuflash back ili ujudge hiyo argument yako wewe unabidi urudi shule kaka
These data are from a valid and accepted source? or your just posting some cooked data from Kenyan mediaI like your illiterate argument. The kenyan companies or south african companies zinazo toka nje kuekeza make their money in the local economies home. makampuni ya kenya kama benki na suprmarkets are among the best performing home ndio zinatoka nje kuekeza to open up more profit streams kwa shareholders wake. Equity is the leading bank in kenya. portfolio ya kupopesha kenya, tz haifiki ata thuluthi moja ya kenya!!!
sasa hapa walikopesha ethiopia au wakenya ndio watokee katika kundi la juu africa!!!
Three Kenyan Banks among the Top 10 Fastest growing lenders in Africa
July 4, 2016 Kenyan WallStreet Market News
The Fastest Growing Banks in Africa 2016
In 2015, many African Banks faced lots of challenges mainly due to tumbling commodity prices and volatile currency movements which contributed to weak performance of most of the continent’s big lenders in the 2016 ranking of The Banker Magazine, a publication of the Financial Times.
Amid these challenges, three Kenyan NSE Listed lenders performed relatively well in the 2016 rankings by recording positive Tier 1 capital growth. Equity Bank has been ranked as the fastest growing lender in Africa with a 29.87% growth and at position 835 globally. Cooperative Bank was the third fastest growing bank in Africa with a 10.94% growth while KCB came in at position 8 with a 2.24% growth as shown in the table below.
Kenya Commercial Bank and Equity Bank both joined the continent’s Top 25 table in 2016 which can be partly be attributed to the performance of the Kenyan shilling in 2015, which declined modestly against the US dollar relative to many other African currencies.South Africa
Ebu tupe data hayo mabenk yamekopesha kiasi gani kwa soko LA ndani na nchi zingine apart from Tz ilitujiridhishe kua Tz ni soko dogoyou are so petty. unafahamu banking sector ya kenya bwana wee!! tanzania mabenki ya kenya yaana wateja kiasi gani. kusema ndio wanaongoza benki za kitanzania hawakusema ukubwa wa lile soko. tanzania ipo kati ya soko ndogo sana africa za benki. misri, algeria, nigeria, south africa na kenya ndio wana masoko mkubwa zaidi africa!!
These data are from a valid and accepted source? or your just posting some cooked data from Kenyan media
Acha blah! Blah! Ebu tupe data za hayo mabenk yamekopesha kiasi gani kwa soko LA ndani ya kenya na nchi zingine apart from Tz ilitujiridhishe kua Tz ni soko dogothats the usual crazy tanzania response. ata hii data ya kenyan bank leading mlibisha mpaka mkapewa source kuwa BOT. so find whatever you call credible source. the information there for you. kama lazima itoke kwa watanzia wenzako am sorry!!!
Three Kenyan Banks among the Top 10 Fastest growing lenders in Africa
July 4, 2016 Kenyan WallStreet Market News
The Fastest Growing Banks in Africa 2016
In 2015, many African Banks faced lots of challenges mainly due to tumbling commodity prices and volatile currency movements which contributed to weak performance of most of the continent’s big lenders in the 2016 ranking of The Banker Magazine, a publication of the Financial Times.
Amid these challenges, three Kenyan NSE Listed lenders performed relatively well in the 2016 rankings by recording positive Tier 1 capital growth. Equity Bank has been ranked as the fastest growing lender in Africa with a 29.87% growth and at position 835 globally. Cooperative Bank was the third fastest growing bank in Africa with a 10.94% growth while KCB came in at position 8 with a 2.24% growth as shown in the table below.
Kenya Commercial Bank and Equity Bank both joined the continent’s Top 25 table in 2016 which can be partly be attributed to the performance of the Kenyan shilling in 2015, which declined modestly against the US dollar relative to many other African currencies.South Africa
Ebu tupe data hayo mabenk yamekopesha kiasi gani kwa soko LA ndani na nchi zingine apart from Tz ilitujiridhishe kua Tz ni soko dogo
Acha blah! Blah! Ebu tupe data za hayo mabenk yamekopesha kiasi gani kwa soko LA ndani ya kenya na nchi zingine apart from Tz ilitujiridhishe kua Tz ni soko dogo
Wanakuja Kukopesha watz kwa sababu tuna dhamana za kueleweka atleast 30% of tanzanian wanamiliki nyumba zao nzuri na almost 80% ya watz tuna ardhi ya kutosha kuombea mkopo sasa wewe ndugu yangu mkenya uombe mkopo kwa dhamana ipi mmejaa ujanja ujanja wa kofoji nyaraka na miaka ya mbele lazima ata KQ ije bongo kujenga HQ maake tutakua ndio kitovu cha uchumi
Hiyo kawaida tuu mbona kila sehemu ata kwenu hamjaamua tuu usikute kwenu ndio hatari zaidi maana nyie ndugu zetu ni wezi wezi tuuHalafu wewe utaniambia nini kuhusu kughushi wakati sasa hivi Bongo yote mnababaika baada ya rais Magu kuamua kukomaa na suala la kuwatoa watumishi hewa, na ameamua kuwafuata hadi kwa vyeti, mumejaa kwenye kila sekta na vyeti vya kughushi, kuanzia kwa viongozi hadi watu wa usafi maofisini.
Subiri hapo ulipo na cheti chako hicho, anakuja jamaa afu hana msamaha. Watu mumekua na roho nyeusi hadi juzi mnaanzisha akaunti feki ya kupokea misaada kwa ajili ya wahanga wa tetemeko kule Bukoba, mijitu hamna huruma jameni, ufisadi na uchafu wa kila aina, yaani hadi namuonea huruma rais wenu kwa jinsi anavyopambana wakati nyie wenyewe mpo wachafu hadi kupitiliza.
Juzi Magu kashtukiza pale forodhani na kukuta uozo ule ule aliousafisha waziri mkuu umerejea tena kwa fujo, mlishaonja ufisadi sasa mnatafuna kwa pupa, afu huna aibu ukielekeza kidole kwetu eti sisi wajanja wajanja.