Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapihuku kwetu mpaka rufaa isikilizwe ni karne moja ipite.
Sasa ww ?? C ni plight yake ...kwamba waalimu na makuli wanapata raha.
kama waona wateseka ukiwa daktari hamia fani nyingine kuliko na raha
[emoji106]Godbless lema
Lijualikali
Madiwani wa upinzani wote walio ndani Tanzania.
Kazi IPO,
2020
Tume huru idaiwe Tanzania
Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imeamua viongozi wa chama cha wahudumu wa afya waliokuwa wamefungwa jela mwezi mmoja waachiliwe huru mara moja.
Viongozi hao saba walifungwa Jumatano baada ya kupatikana na hatia ya kutofuata uamuzi wa mahakama wa kumaliza mgomo wa madaktari ambao umedumu kwa miezi miwili unusu sasa.
Viongozi hao wametakiwa kuhakikisha suluhu ya mgomo huo inapatikana katika kipindi cha siku saba.
Mazungumzo ya kutafuta suluhu yataongozwa na Chama cha Wanasheria Kenya (LSK) na Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu (KNHCR).
Madaktari wamekuwa wakiitaka serikali kuheshimu makubaliano ya mwaka 2013 ya kuwaongezea mishahara na kuboresha mazingira ya utendaji kazi hospitalini
Wanataka pia serikali iwekeze zaidi katika dawa, vifaa na mitambo hospitalini pamoja na kutoa pesa zaidi za kufadhili utafiti wa kimatibabu.
Wamekataa mshahara walioongezewa na serikali wa asilimia 40 wakisema kuwa ni wa chini kuliko ule walioafikiana mwaka 2013.
Karibu madaktari na wauguzi 5000 kutoka hospitali 2000 za umma, walianza mgomo wiki ya kwanza ya mwezi Desemba na wagonjwa wamekuwa wakikosa matibabu.
Chanzo: BBC/Swahili
PriiiissssIt would not be on account of the doctors' boycott Jay456watt. The majority of Kenyans are not backing this strike. The demands are justified, granted, meeting them overnight however is impracticable. This move might
alienate them further from the pipo.
If they push the election dates its even going to be greaterElections may be held in 2018. If judge odungas ruling is anything to go by.
And Today Opposition leaders/lawyers have gone to court and On a Pro bono basis appealed the arrest of all the doctors for Immediate releaseWhich people?...we are firmly behind our DOCS!...papa smurf!
I wish i was a billionaire this wpuld be on every major billboard country wide in all 45 languages