Kenyan exports to Tanzania has increased to 7.99b in the first six months of 2020

Kenyan exports to Tanzania has increased to 7.99b in the first six months of 2020

Attachments

  • 2585601_2585546_Screenshot_20201010-1655592.png
    2585601_2585546_Screenshot_20201010-1655592.png
    35.4 KB · Views: 1
Uko Tanzania ipi kwani!? Na Ubaya based on what!? Hype ya mtandaoni!? Au have you seen people dead in political rallies!? Acha kutupa Jina Mbaya Bwana.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Visingizio as usual,Hali ya kiushawishi ya mgombea wenu ni mbaya hakubaliki na kwenda gereji hakuishi Kama gari ya mkaa.Uchimi ni mbaya maisha ni Magumu ,mumechanganyikiwa kwa kuona mtu ambae hajaweka bango hata moja la uchaguzi anakubalika kuliko aliyefanya siasa pekeyake miaka 5 na kujigamba since day one akasahau kwamba we don't eat drimulaina.
 
Wabongo hao nikudanganyana eti,"oooh tusiwauzie wakenya chakula wafe"..😀😀😀😀..mwisho wasiku tunawapiku kibiashara juu wakibana kutuuzia tunawauzia alafu tunanunua mahindi na viazi uganda.mwisho wa siku haya ndio matokeo yake. Kweli ujinga ni mzigo
 
Watakuambia wanatuuzia maembe, hawajui kuwa hizo fruits tunaziturn to juice alafu tunauza kwao tena at an expensive price.
Tanzania huwa inatuuzia raw materials which we use to make finished products which we later on sell to them at a higher price. Ubongo zimelala bongo!
 
Na Waganga walipozuiliwa kuingia Tanzania wakajidai hawana shida na Tanzania.
 
Huwa wananibamba sana, yani venye wanangoja uchumi ya Kenya ianguke ndio gap inaendelea kuongezeka.
Huna akili wewe hamna anaesubir uchumi wakenya uanguke. Jua kutofautisha Kat ya kuanguka na kupitwa.

Tanzania will take the economic region power, not necessarily muanguke hata mwende na speed gan tutawapita tu.

Nyie slave wa wachina in ur own country.
 
Huna akili wewe hamna anaesubir uchumi wakenya uanguke ...jua kutofautisha Kat ya kuanguka na kupitwa.


Tanzania will take the economic region power, not necessarily muanguke hata mwende na speed gan tutawapita tu.
Nyie slave wa wachina in ur own country
Ala!!Sikuizi mumeacha kutaja mabeberu sasa tune imekua ni wachina🙄.Haya wacha nyangau tusubiri dona kantri kutupita😂😂😂
 
Back
Top Bottom