Kenyan exports to Tanzania has increased to 7.99b in the first six months of 2020

Kenyan exports to Tanzania has increased to 7.99b in the first six months of 2020

Waandishi wa Kenya nao Bure kabisa

Kwa kujifungia miezi yote hiyo mmeamka now na porojo nyingii yani nyie kila kitu ni white elephant mpaka waandishi

Sent from my H3223 using JamiiForums mobile app
 
If anything this shows the two neighbours cannot afford to have bad blood.

Sema nini, bomba la gesi mkiletewa mjue kwishney. Balance of trade itahamia on our side
 
Sijawai kula chakula kutoka Tanzania na sitawaikula hadi nife.
Unakuka kika cku ila hujui tu kwakua ukirudi unaona mama yako kashakupikia hata duka alilonunua unga hujui utajua mahindi yametoka wapi au kitunguu kimetoka wapi au nyanya zimetoka wapi.
 
Ukiangalia mpakani magari mengi yanayoenda Kenya yamebeba vyakula... Halafu anapiga mbinja tu hapa..na githeri yake mdomoni... Hataweza 😀

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mpaka wa namanga ukifungwa Kwa cku tu utasikia magari 1000 kutoka Tanzania kwenda Kenya yamekwama wakati ya Kenya ni 200.
 
Huna akili wewe hamna anaesubir uchumi wakenya uanguke. Jua kutofautisha Kat ya kuanguka na kupitwa.

Tanzania will take the economic region power, not necessarily muanguke hata mwende na speed gan tutawapita tu.
Nyie slave wa wachina in ur own country.
Ati mtapita Kenya kiuchumi?

In 2015 economic gap between Kenya and Tanzania was $16b
In 2020 the gap is now $38b

Ebu tuambie how you expect to overtake Kenya yet the gap keeps on widening.
 
Mpaka wa namanga ukifungwa Kwa cku tu utasikia magari 1000 kutoka Tanzania kwenda Kenya yamekwama wakati ya Kenya ni 200.
hahah nyinyi ni kusikia tu?..hadithi za vijiweni. Evidence?

Ujinga!
 
Back
Top Bottom