Kenyan governor praising Dar es salaam

Kenyan governor praising Dar es salaam

Huyo gavana aboreshe gatuzi lake asitake kutuharibia Nairobi, maana BRT kama ilvyo Tanzania ukianzisha Nairobi itakua majanga, tunafaa kuiga ile ya Colombia kama walivyofanya utafiti wa hivi majuzi.
 
Sikia wee jamaa nikuambie, BRT idea originated from Latin America. Hata sisi tuliiga huko. Lkn tulichofanya tuli customize kulingana na mazingira yetu. Hivyo hata NYIE hamtaiga kila kitu kama ilivyo Colombia bali kulingana na mazingira yenu. But the focal issue is to set aside special lanes for specialised commuter busses.
 
Huyo gavana aboreshe gatuzi lake asitake kutuharibia Nairobi, maana BRT kama ilvyo Tanzania ukianzisha Nairobi itakua majanga, tunafaa kuiga ile ya Colombia kama walivyofanya utafiti wa hivi majuzi.
Wivu utakuua.
 
Governor ???
Siunajua tu, lazima angetumia jina gavana ili hoja yake ionekane ya maana. Jamaa anafata umbea wa mashinani. Kesho yake atatuambia kwamba mwenyekiti wa nyumba kumi kule kijiji cha Olooyangalani amesifia shirika la ndege la ATCL, sijui kama lipo? Kenya ina heshima kubwa buana.
 
Yani mbunge wa Kibera ndio unamwita Governor? Bongolala

Kwani kibera wanaishi watu au wanyama? Acheni dharau bana. Wananchi wa kibera ni sawa tu na wananchi wengine. Ila tu wenyewe kipato chao ni duni.
 
Acha kukariri unaleta ujuaji wakati hata hujui tofauti kati ya Kibera slum na Kibra Constituency.
 
Back
Top Bottom