mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Mpeni huyu jamaa 2 years mtaskia na yeye kaolewa kwenye nchi kati ya marekani au uingireza.Do you know how big the universe is? It's most probably likely that there are other forms of life on planets in other galaxies.
Usijiskie special sana. Binadamu ni mnyama tu kama wengine; tofauti yake kuwa ubongo wake ume-develop zaidi.
Dunia yetu sio centre ya universe, na sisi binadamu hatuna uspesheli wowote; yaani, we're not "chosen".
Tafuta facts, sio hadithi za kidini. Angalia kazi ya watu kama George Abungu. Soma vitabu vya Richard Dawkins (ambaye alizaliwa Kenya), Bill Nye, etc. Kazi ya Louie Leakey pia itakuonyesha evidence ya binadamu ni mnyama tu na alibahatika kutokea on top of the food chain.
Ukisha fanya hayo, tazama kazi ya watu kama Elon Musk (space x), Jeff Bezos (blue origins) wakitafuta mbinu za kuhakikisha kwamba humanity survives disasters on Earth. Tazama kazi ya watu kama Peter M.B Waswa, Dr. John Njoroge Kimani, nk.
Haya mambo yote yanaendelea, na wewe bado umekazana na mambo ya dini yanayokuambia kwamba Earth pekee ndiyo "iliyobarikiwa na Mungu"?
There are many other planets that probably have life.
Bloodybullsh**t