Kenyan media houses against Tanzania

Kenyan media houses against Tanzania

Ukweli unasifa ya kujitetea wenyewe.
 
...na South Africa pia.
94482571_3003061999736625_356348497336729600_o.jpg
Hali ndio hiyo, itabidi watulie tu sindano iwaingie hadi kwenye mfupa. Jiwe alichemsha punde tu alipoiandama Citizen Tv akiwataka wamuombe msamaha, baada ya ile ripoti yao ya "Ukaidi wa Magufuli", badala ya kuwapuuza. Kawaida ya media kama za Kenya ni kwamba huwa zina swag za kifisi. Wakinusa damu wote huwa wanang'ang'ania wapate angalau kipisi cha mnofu. Kwa ubabe wake huo lijitakia attention yeye mwenyewe, badala ya kucheza karata zake kama pro. Sasa macho yote yamemuangazia yeye na nchi ya Tz, ajiandae kisaikolojia, mechi ndio imeanza.
 
Mie ni mtanzania ila we are absolutely wrong in the manner we are handling the Covid-19 pandemic.

Katika kila sekta huwa kunakuwa na models za jinsi ya kudeal na challenging issues. Uchumi, afya, ulinzi vyote hivyo vina operating models ambazo ni internationally and professionally accepted.

Kwenye issue ya pandemic suala la kutoa data sahihi na kwa muda mfupi iwezekanavyo ni moja ya models zinazotakiwa kufuatwa.

Unfortunately, hali tukijua umuhimu wa hizo models hatuzifuati, sio kwa matakwa ya wataalam wetu bali ya wanasiasa.

Ndio maana nawaunga mkono wakenya wanapotuona we are so primitive japo sio wote, some of us we are in our perfect state of mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoa data kwa haraka ukimaanisha kutoa data kwa nani na kwa hataka kiasi gani?.
Lengo la data ni kwa ajili ya matumizi ya watu wenye kutoa maamuzi ili kubadili mbinu za mapambano.

Wenye kutoa maamuzi kuhusu mapambano ya Corona ni Serikali, ambayo inapata hizo data karibu kila siku, ila kutangaza kwa vyombo vya habari ndio wanejiwekea kufanya baada ya siku kadhaa, au wewe unahisi wanapotangaza ndio siku hiyo hiyo Serikali na watoa maamuzi ndio kwanza wamesikia?

Hebu tuambia hiyo unayoita" as soon as possible " ni muda gani kwako ndio majibu yanakua yametoka "soon". Kenya na Tanzania hakuna nchi inayofanya vizuri ktk hii vita, tunahitaji kujifunza toka Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...na South Africa pia.
94482571_3003061999736625_356348497336729600_o.jpg
Hali ndio hiyo, itabidi watulie tu sindano iwaingie hadi kwenye mfupa. Jiwe alichemsha punde tu alipoiandama Citizen Tv akiwataka wamuombe msamaha, baada ya ile ripoti yao ya "Ukaidi wa Magufuli", badala ya kuwapuuza. Kawaida ya media kama za Kenya ni kwamba huwa zina swag za kifisi. Wakinusa damu wote huwa wanang'ang'ania wapate angalau kipisi cha mnofu. Kwa ubabe wake huo lijitakia attention yeye mwenyewe, badala ya kucheza karata zake kama pro. Sasa macho yote yamemuangazia yeye na nchi ya Tz, ajiandae kisaikolojia, mechi ndio imeanza.
Hivi ndivyo media za Kenya zilivyochanganyikia kuhusu Tanzania, hapa Tanzania inaonyesha ni 112K, na Kenya ni 100K, lakini media za Kenya zinasema kuhusu Tanzania kwamba ni " Shock", kwa Kenya sio kitu
Tanzanians Receive Another Shocker as Local Doctor Predicts Thousands of Deaths to be Expected

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa na akili kilasiku unaandikaga uchizi tu yani mawazo unayotoa hata huendani na jina au labda kwakua humu hatuonani kwa picha inaweza muonekano wako na haya mawazo yako yanaendana . Hivi Kuna haja gani ya kuibia majibu ya mtihani ili ujaze maswali yaliokushinda kwa mtu ambaye rekodi yake ya matokeo ni mbaya afadhal wewe? .au hoa WHO walitaka tufate njia ya nchi gani ya ulaya ambao wana afueni?. Au ilimradi tuwafate wazungu tu hata Kama wenyewe wamefeli
Dah! Kingereza cha Wabongo...hehehe haya bana.
Anyway sio Kenya tu, mnasemwa kote hadi na WHO, mbinu zenu ni kinyume na mataifa yote ya dunia, mnasuasua kutoa data na kuwapa watu wenu matumaini hewa, kisha mnashtukiza na namba za kiajabu na kuwaacha hoi.
Wenyewe mnapima watu wachache kwa siku lakini tayari mumeongoza EAC kwa idadi ya maambukizi, hiyo tayari inaonyesha jinsi gani mnacheza mchezo hatari.

WHO yailaumu Tanzania kutokutoa ushiriano mzuri takwimu za COVID19 - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
First, as a Kenyan i look down upon Tanzania to orient myself on how not to do things. Second, Sawahili has got nothing to do with Tanzania if you are a student of history
Ndiyo mnavyo danganywa na waingereza na kujidanganya wenyewe kuhusu Kiswahili kilichozaliwa Zanzibar na kuenea Bara toka miaka ya Mjerumani na beyond. Wakati nyie mlikikataa na kukiita Islam na kiarabu, mlianza kuongea Kiswahili miaka ya mwisho ya sabini, mpaka leo hamuongei Kiswahili fasaha, viunganisho vyenu ni vya watoto wadogo wa miaka miwili TZ au wazungu wanaojifunza lol.

Kiswahili kilichoundwa na Bantu languages na kubadilisha matamshi ya liarab kuwa kibantu ambacho hamna hata kabila lenu moja ni la kibantu lol. Endeleeni kupumbazana na kutumia Kiswahili kama chombo cha uchumi wakati kwetu ni Lugha ya Taifa toka miaka ya 40, sie wenye masomo ya Isimu ya Kiswahili kama unajua hiyo ni nini. Nchi nyingine tunazopakana nazo wanajua Kiswahili ni cha Watanzania, hata wa Mombasa wanaongea Kiswahili fasihi wanajua nani wa kuwafundisha Kiswahili. Ndiyo maana miji mipakani mwa Tanzania na Kenya ndiyo wanao ongea Kiswahili fasaha siyo cha kitoto na kitalii ka wengine wote Kenya.
 
Hawa wapumbavu kwani hawajui ili utililike kiswahili hasa lazima uwe unaukalibu na watanzania, wanatamba mbona Mombasa wanaongea kiswahili vizur lakin hawajiuliz kwann Nairobi hawajui kiswahili wakati Nchi moja hiyo.mombasa wanajua kiswahili sababu ya muingiliano wa watu wa Tanga na Zanzibar mkubwa kulinganisha na Nairobi hata watu wa mpakani Burundi wanajua kiswahili vizur
Ndiyo mnavyo danganywa na waingereza na kujidanganya wenyewe kuhusu Kiswahili kilichozaliwa Zanzibar na kuenea Bara toka miaka ya Mjerumani na beyond. Wakati nyie mlikikataa na kukiita Islam na kiarabu, mlianza kuongea Kiswahili miaka ya mwisho ya sabini, mpaka leo hamuongei Kiswahili fasaha, viunganisho vyenu ni vya watoto wadogo wa miaka miwili TZ au wazungu wanaojifunza lol.

Kiswahili kilichoundwa na Bantu languages na kubadilisha matamshi ya liarab kuwa kibantu ambacho hamna hata kabila lenu moja ni la kibantu lol. Endeleeni kupumbazana na kutumia Kiswahili kama chombo cha uchumi wakati kwetu ni Lugha ya Taifa toka miaka ya 40, sie wenye masomo ya Isimu ya Kiswahili kama unajua hiyo ni nini. Nchi nyingine tunazopakana nazo wanajua Kiswahili ni cha Watanzania, hata wa Mombasa wanaongea Kiswahili fasihi wanajua nani wa kuwafundisha Kiswahili. Ndiyo maana miji mipakani mwa Tanzania na Kenya ndiyo wanao ongea Kiswahili fasaha siyo cha kitoto na kitalii ka wengine wote Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna jeuri ya kunirekeisha maana wewe kwanza sijawahi kuona umeandika chochote cha maana zaidi ya matusi, ukishajifunza tusi la kingereza lazima uje kasi kulitupia humu.
Mimi binafsi huku JF huwa nachangia kwa Kiswahili maana walengwa wameaminishwa kwamba kuongea au kuandika kwa kingereza ni utumwa, hivyo huwa kinawapa changamoto sana. Lakini nikiwa kwenye forums za Wakenya au kule Quora, huko huwa nachangia kwa Kingereza.

"kunirekeisha" = Kunirekebisha.

"maana wewe kwanza" = maana, kwanza wewe

"Mimi binafsi huku JF huwa nachangia" = Huku JF, mimi huwa nachangia...

"maana walengwa" = kwakua walengwa. Wewe almost kwenye kila sentence ni "maana".

Tunaposoma maandiko yako, huwa tunakupa fursa ya Kujifunza kwani una makosa mengi sana.

Mimi nimeenda shule we mbulula, onesha post yangu nimetukana. Na muda wowote kwazia sasa, nijibu kwa Kingereza tu. Tusijibizane Kiswahili mimi na wewe.

Fool!
 
First, as a Kenyan i look down upon Tanzania to orient myself on how not to do things. Second, Sawahili has got nothing to do with Tanzania if you are a student of history
By the way we look down at Kenya for many too, and it is nothing for us to feel better like you idiots.
 
"kunirekeisha" = Kunirekebisha.

"maana wewe kwanza" = maan, kwanza wewe

"Mimi binafsi huku JF huwa nachangia" = Huku JF, mimi huwa nachangia...

"maana walengwa" = kwakua walengwa. Wewe kila almost kwenye kila sentence ni "maana".

Tunaposoma maandiko yako, huwa tunakupa fursa ya Kujifunza kwani unamakosa mengi sana.

Mimi nimeenda shule we mbulula, onesha post yangu nimetukana. Na muda wowote kwazia sasa, nijibu kwa Kingereza tu. Tusijibizane Kiswahili mimi na wewe.

Fool!

Hehehe!! Rekebisha hayo meno nimeangazia hapo, sio ya Kiswahili, labda Kisukuma.
 
First, as a Kenyan i look down upon Tanzania to orient myself on how not to do things. Second, Sawahili has got nothing to do with Tanzania if you are a student of history
Changes nuthn if u look down upon Tz. A lot of us look down upon kenya too. U guys look down upon swahili, Tz is upholding it, currently, forget about history, and if not Tanzania, swahili would be dead by now.
Worse enough, it is known authentic swahili is found in Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoa data kwa haraka ukimaanisha kutoa data kwa nani na kwa hataka kiasi gani?.
Lengo la data ni kwa ajili ya matumizi ya watu wenye kutoa maamuzi ili kubadili mbinu za mapambano.

Wenye kutoa maamuzi kuhusu mapambano ya Corona ni Serikali, ambayo inapata hizo data karibu kila siku, ila kutangaza kwa vyombo vya habari ndio wanejiwekea kufanya baada ya siku kadhaa, au wewe unahisi wanapotangaza ndio siku hiyo hiyo Serikali na watoa maamuzi ndio kwanza wamesikia?

Hebu tuambia hiyo unayoita" as soon as possible " ni muda gani kwako ndio majibu yanakua yametoka "soon". Kenya na Tanzania hakuna nchi inayofanya vizuri ktk hii vita, tunahitaji kujifunza toka Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Data zinaweza kuwa na manufaa not only to "white color" decision makers but also to a citizen in Mbagala.

Mtu wa kawaida atakapoona data zinaonesha watu wanakufa kama nzige ata "make decision" to take necessary measures to protect themselves.

Hicho kinachofanywa TZ ni maamuzi ya mtu tu na sio inavyotakiwa kitaalam, unfortunately it is costing us dearly.

WHO ndio wataalamu katika hili, je muongozo upi wa WHO unaosema data lazima zitangazwe hadharani " as soon as possible?".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi hamkawii kuleta ukabila, unaikumbuka mashada?

Binafsi, sikua mtumiaji wa mashada ila kawaida binadamu wakiwa kwenye majukwaa ya kijamii kule ambako wanajificha nyuma ya ID zao huwa hawakosi kasoro za kiaina, kwa mfano huwa napitia jukwaa lenu la kisiasa humu JF, migawanyiko ya uchama ya kufa mtu, yaani kila kitu kinajadiliwa kwa misingi ya uchama, hata hili janga la Corona yaani kila kitu, hamna hata kimoja huwa mnakijadili kama Watanzania, lazima mistari ya vyama ichorwe.

Kimsingi binadamu ndivyo alivyo, hakosi namna moja au nyingine ya kuchora mistari ya usisi dhidi ya uninyi, hebu angalia hii picha uniambie huyu jamaa anauawa bure, kosa lake kavaa mavazi ya chama tofauti, Watanzania wenzake, raia wenzake, binadamu wenzake, weusi wenzake wanamtembeza kichapo kisa mavazi.....

vuruguccm.jpg
 
Back
Top Bottom