KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Hello, naomba kujua jina la huu wimbo.
Huyu jamaa atakuwa ametokea Kenya nafkiri ila ametumia beat ya Wiz Kid Ojuelegba na amefanya Hip Hop moja tamu sana.
Niliiskia mara moja tu East Africa Radio The Cruise ila DJ alikuwa anamix nyimbo so hakuwa akitaja kila ngoma anayoicheza.
Mwenye kujua jina la huo wimbo msaada tafadhali wadau.
Thanks a lot.
Sent from my HTC Desire 816 dual sim using JamiiForums mobile app