moxec
Senior Member
- Sep 22, 2016
- 191
- 205
Nyinyi ni international gani mm hata uniwekee papuchi pembeni uniambie nikutajie current Kenyans musicians wa 5. Papuchi nitakua nimeikosa kwakweli wangechi nilimuona kwa Mara ya kwanza kwenye coke studio ndio nilipo mfahamu. Sauti Sol nimewajua kwenye ngoma ya AY I don't wannah be alone. King kaka na nawasikia tu ila ngoma zao hata moja sizifahamu. Upcoming artist wengi mnawafahamu nyinyi wenyewe alafu mnasema international sasa kwa taarifa yako bongoflava inapeta mpaka nigeria.Wasanii wengi tu kutoka naija wanakuja bongo kwa ajili ya kuongeza fun base na kutafuta connection. Kuna msanii fulani kutoka naija anaitwa papa alikuja bongo na katoa ngoma ya kiswahili. Mara super star wenu Baraka kaja kutoa ngoma na rayvany. Nawakati bongo rayvany watu wanamuona wa kawaida tu. Ni mziki gani huo wa international mnakosa hata show kwa majirani zenu mkiwa na matamasha makubwa mnakuja bongo kuwachukua wakina alikiba, diamond,Vanesa etc.