Kenyan musician and her band nabbed in Tanzania without travel docs, sentenced to 6months in jail

Kenyan musician and her band nabbed in Tanzania without travel docs, sentenced to 6months in jail

Kwani unafikiria mkini ban ntalala njaa?as if im getting paid to contribute in jamii forums

Hapa hatuongelei kula au kutokula. Tunaongelea kufuata kanuni za mijadala za hapa JF.
 
Hapa hatuongelei kula au kutokula. Tunaongelea kufuata kanuni za mijadala za hapa JF.
How many artists do we support from your country? From diamond, kiba and the rest.... Mbona hatujawai washika ii utoto mtaacha ama we reciprocate the same.
 
Lady Maureen. Huyu madam anachapa live music ya Luo Benga bila mchezo. Sijui kwanini yeye na wenzake waliamua kuingia ndani ya nchi za wenyewe bila vibali.
ent250409_01.jpg
Kumbe ni Luo[emoji24][emoji24] nikafkiri kuyu
 
Kwa hiyo tumewapiga chini mambo ya East Africa protocol and free movement of people, labor, goods and all that crap. Screw the protocol!

Jumuiya ipi hiyo ikiwa hata muungano wenu na Zanzibar umejaa vioja na sintofahamu, hebu ona Wazanzibari wanavyolia mnachowafanyia, sembuse nchi majirani
 
Jumuiya ipi hiyo ikiwa hata muungano wenu na Zanzibar umejaa vioja na sintofahamu, hebu ona Wazanzibari wanavyolia mnachowafanyia, sembuse nchi majirani

Punguza munkar ya ngoswe mwachie ngoshwe
 
Omera stop harrasing the Queen of Ohangla, yawa you people have no respect. Kuna siku alichapa show kule Malindi nilikuwa ndani ya nyumba. Sauti anayo talanta kupindukia. Real musician.
Tatizo ni vibali nothing else.. Huku wakenya wapo wengi tu na wanaishi vizuri, wanachokataa immigration ni Kutofuata Utaratibu..
 
Jumuiya ipi hiyo ikiwa hata muungano wenu na Zanzibar umejaa vioja na sintofahamu, hebu ona Wazanzibari wanavyolia mnachowafanyia, sembuse nchi majirani

Ni nchi gani utaingia bila kuwa proper documents? Na ufanye kazi ya kuingiza kipato huku Mamlaka wakikuangalia tu?
 
Tatizo ni vibali nothing else.. Huku wakenya wapo wengi tu na wanaishi vizuri, wanachokataa immigration ni Kutofuata Utaratibu..
Usijali jombaa tutarivenji na Mondi. Akiingia huku Kenya bila cheti cha chanjo ya Yellow Fever, atalala ndane! 😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I thought Diamond was a Kenyan .. Si nimesikia mmempa nyumba huko..
Huyo alikuwa Mr. Takeu style. Huyo kumkamata itakuwa ni dhambi kubwa zaidi ya kumkamata Munishi. Hatutaki mwenzake aibuke na remix ya Mark Muga. 🙂
 
Wantanzania wangapi wamejaa huku kenya wanauza nguo na wamejaza vinyozi uku nairobi nani amewapeleka jela??? Nyiyi ni wanafiki sana
Acha zako hata tz huku eakenya wamejaa kila kona

Kila MTU na bahat yake
 
How many artists do we support from your country? From diamond, kiba and the rest.... Mbona hatujawai washika ii utoto mtaacha ama we reciprocate the same.
Acha ukoma mkuu

Kwan wakina diamond wanakuja kiholela

Jifunzen kuheshimu sheria za nchi nyingine

HATUTAKI MAZOEA
 
Back
Top Bottom